Mbona Anna Tibaijuka ana hasira hivi kila wakati kuhusu uwekezaji wa DP World?

Mbona Anna Tibaijuka ana hasira hivi kila wakati kuhusu uwekezaji wa DP World?

Hatulii, hakika kuna maslahi yake yaliyoguswa.....haki ya Mungu tena!
View attachment 2732824
Learn to respect elders young man.. usianzishe mada kwa lengo la kutoa nafasi Prof. Tibajuka kutukanwa au kukashifiwa kwa msimamo wake..kumbuka ipo siku utahitaji sana kutambuliwa UTU na hadhi yako hutaipata hata kutoka kwa watoto wako mwenyewe! Usiwe km hukufunzwa adabu kote ulikopita!
 
Hana msimamo kama unamfuatilia ,zile pesa za utapeli Escrow zishaisha apambane na hali yake.
Escrow sawa watanzania tunajua kweli alituoiga ila chini ya Jk na ccm wakamwachia sisi watanganyika hatuna lakumfanya kwetu amebakia Mungu tu wakumuhukumu
Ila kwa hili la bandari za tanganyika anafanya vyema kulinda mali zetu na na sisi watanganyika tupo pamoja nae na tunamuunga mkono
 
Back
Top Bottom