Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Watu wameshakufa wao wanazima TV, lau mngewajali mngewapandisha ndege. Bepari ni bepari tu. Azam kampuni yote ile mnawabeba staff kwenye coaster....anyway...R.I.P wafiwa.
 
Kwani ni msiba wa tz nzima? Si msiba wao? Sisi misibabyetu huwa wanalia? Si hawatutambui kabisa? Sikatai, ajali inasikitisha lkn huo sio msiba wa tz nzima,namaanisha sio kila mtu ni mfuwa hapa.
Mmh ok ok sawa nimekuelewa... Lakini kwa kupoteza team kubwa kama ile sidhani kama hao walioko kazini wanaweza kuendelea na kazi
 
Kwahiyo tatizo ni kuonesha live match au kuonesha vitu visivyoendana na maombolezo? Wanaweza kuonesha ngono ili mradi ni CD?
Mchaga unapenda ngono wewe duuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
 
Unaweza kufafanua vizuri mkuu?
Mara nyingi mtu anayehudumia jamii huwa na lengo la kutoa huduma bora pasipo kubagua jinsia, dini wala kabila, sasa inapokuja mtoa huduma anazuia product isifike kwa mtumiaji labda anakaa kimya au anatoa kisingizio chochote kisicho na istihali unategemea nini?.
 
Kupitia Rwanda Tv unaona AFCON kwenye king'amuzi cha dstv hapa hapa Tanzania
 
UTv ni bure kama TBC
Hii kitu imenishangaza kidogo ile ni Pay Tv suala lolote ambalo sio technical halipaswi kumkosesha huduma mteja.Wanamiliki channeli zaidi ya moja wangeweza kuchagua moja na kuomboleza ndugu zetu.
 
Chonde chonde Azam media, msiba umeshatokea! Na poleni sana kwa kuwapoteza wapendwa wenu. Kule kwenye mashindano ya cecafa ya yule popoma musonye hamkukata matangazo; ni vyema mkaturudisha Afcon ili maisha yaendelee. Tafadhali.
 
Mbona Congo tv wanaonyesha Tena mechi zote, Mimi naangalia Congo tv Bila matatizo
 
AZAM TV semeni neno watu wapone. Robo fainali zinaanza leo. Poleni na msiba maisha yanatakiwa kuendelea.
Na kama kuna tatizo jingine msitumie msiba kama kisingizio.
Mbona channels nyingine mmeziacha?
 
AZAM TV semeni neno watu wapone. Robo fainali zinaanza leo. Poleni na msiba maisha yanatakiwa kuendelea.
Na kama kuna tatizo jingine msitumie msiba kama kisingizio.
Mbona channels nyingine mmeziacha?
Aisee
 
Matangazo yao yalikuwa yanaeleza kwamba wataonyesha mechi zote. Leo hawaonyeshi Mali na Ivory Coast, tatizo nini?
Cha kushangaza wamezifunga KBC/UBC ambazo zinaonyesha.
Ina maana haujui kilichotokea kwa wanahabari wao 5.Wanaheshimu uhai wa mtu hata akifariki akiwa nao bado wanaendelea kutoa heshima zote kwao.Hongera Tido hongera Azam kwa kutambua hilo na poleni sana.Mlipofiwa wao waliendelea bila kujali na ni kazi yao vijana walikuwa wanakwenda kufanya.Ndivyo walivyo wala hatuwezi kuwazoe, tutawaambia tu ili wajue kuwa,Mwenzako akinyolewa,endelea kulowanisha za kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…