Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Matangazo yao yalikuwa yanaeleza kwamba wataonyesha mechi zote. Leo hawaonyeshi Mali na Ivory Coast, tatizo nini?
Cha kushangaza wamezifunga KBC/UBC ambazo zinaonyesha.
embu tuache tuomboleze msiba wa wafanyakazi wenzetu.

kwanza chaneli(utv) inayoonyesha mechi za afcon ni free. hata kifurushi chako kiishe yenyewe ipo hewani masaa 24.

so usije ukaja na madai ya kijinga kudai kwamba ulilipia ili uone mpira.
 
Cheki Rwanda tv ila situmii Azam kwa sasa nadhani bado wameipiga pin ila cheki Mali 0-0 ivorians
 
Wabongo bure kabisa

Dunia haiwezi kusimama kisa kampuni imepoteza wafanyakazi

Fine wao kupitia UTV wanaomboleza basi wangeziachia zile channels zingine kwenye king'amuzi chao zinazoonesha mpira badala ya kuendelee kuzifungia.
 
Ila ukijaribu kuvaa viatu vya wafiwa aisee!!!acha tu wasionyeshe.
 
Tv zetu hiz kaaaz kwelikweli asa c wangesema tu wanaomboleza, ili ss tukatafute kwa wenye ving'amuzi vinavyoonyesha!
 
Back
Top Bottom