Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Azam media mnatuangusha wateja wenu! Bora hata mngetoa sababu ya kutokuendelea kuonesha haya mashindano kupitia channel zenu na tungewaelewa tu!

Huku kunyamaza kwenu kimya kunaleta picha ya ukiburi na dharau kwa wateja wenu! Kama sababu ni maombolezo, basi mtuambie mbona Secafa mnaionesha mubashara hata siku ajali ilipotokea? Iweje kwenye Afcon tu ndiyo kuwe na nongwa?
Kwa hili nadhani kuna sababu nyingine tofauti na msiba ila dharau ikiwemo.
 
Hakuna kitu kama hicho channel zote zinazoonesha Afcon wamezipiga pin. Ila hii game ya senegal na Benin ni hatari na naisi Benin ni wachawi sana sio kwa kosa kosa hizi.
Mganga wao noma
 
Azam media mnatuangusha wateja wenu! Bora hata mngetoa sababu ya kutokuendelea kuonesha haya mashindano kupitia channel zenu na tungewaelewa tu!
Huku kunyamaza kwenu kimya kunaleta picha ya ukiburi na dharau kwa wateja wenu! Kama sababu ni maombolezo, basi mtuambie mbona Secafa mnaionesha mubashara hata siku ajali ilipotokea? Iweje kwenye Afcon tu ndiyo kuwe na nongwa?
Watanzania Msiba mkubwa ule jamani..
Acheni nini hayawakuta labda...

Soccer ni Celebration.
Wapo kwenye maombolezo media nzima.
 
Hivi wadhamini wapo kweli.isije kuwa wadhamini hamna ndio maana wanaamua wanavyotaka.
 
Hizi kosasa za leo Benin wakalale na viatu vinginevyo wangekuwa washapigwa mkono.
 
Back
Top Bottom