Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 694
Kwahiyo fundi mitambo alikuwa mmoja tu?mmoja wa waliofariki ni fundi mitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo fundi mitambo alikuwa mmoja tu?mmoja wa waliofariki ni fundi mitambo
Kwa hili nadhani kuna sababu nyingine tofauti na msiba ila dharau ikiwemo.Azam media mnatuangusha wateja wenu! Bora hata mngetoa sababu ya kutokuendelea kuonesha haya mashindano kupitia channel zenu na tungewaelewa tu!
Huku kunyamaza kwenu kimya kunaleta picha ya ukiburi na dharau kwa wateja wenu! Kama sababu ni maombolezo, basi mtuambie mbona Secafa mnaionesha mubashara hata siku ajali ilipotokea? Iweje kwenye Afcon tu ndiyo kuwe na nongwa?
Hakuna kitu kama hicho channel zote zinazoonesha Afcon wamezipiga pin. Ila hii game ya senegal na Benin ni hatari na naisi Benin ni wachawi sana sio kwa kosa kosa hizi.CITIZEN ya Kenya nasikia ipo hewani
Mganga wao nomaHakuna kitu kama hicho channel zote zinazoonesha Afcon wamezipiga pin. Ila hii game ya senegal na Benin ni hatari na naisi Benin ni wachawi sana sio kwa kosa kosa hizi.
Citizen radio auCITIZEN ya Kenya nasikia ipo hewani
Labda amechikichia na mitambo ya kampuni!!Kwa hiyo Kama ni fundi mitambo ?
Watanzania Msiba mkubwa ule jamani..Azam media mnatuangusha wateja wenu! Bora hata mngetoa sababu ya kutokuendelea kuonesha haya mashindano kupitia channel zenu na tungewaelewa tu!
Huku kunyamaza kwenu kimya kunaleta picha ya ukiburi na dharau kwa wateja wenu! Kama sababu ni maombolezo, basi mtuambie mbona Secafa mnaionesha mubashara hata siku ajali ilipotokea? Iweje kwenye Afcon tu ndiyo kuwe na nongwa?
Amekufa na mitambo ya kampuni!!
Ila CECAFA iko Live hata hiyo jana.
Ni wapuuzi kweli.
Na CECAFA wamewezaje kurusha LIVE?Watanzania Msiba mkubwa ule jamani..
Acheni nini hayawakuta labda...
Soccer ni Celebration.
Wapo kwenye maombolezo media nzima.
Mnhnhh...!!!Na CECAFA wamewezaje kurusha LIVE?
Mbona sijaona mkuuHapana bwana wameonyesha mechi nyingi mbona mpaka hatua ya 16 bora sema mechi za mwisho za 16 bora ndo azikuonyeshwa.
Basi nitakuwa napishana na mechiSiyo kweli
Hawa Benin ni washirikina hakika...Hizi kosasa za leo Benin wakalale na viatu vinginevyo wangekuwa washapigwa mkono.
www.hesgoal.comLink nichek game