KERO Mbona bei ya mbolea inazidi kupanda kila siku huku Dakawa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Fisiem hawana muda na watanganyika kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku

Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.

Bei ya kawaida ilikuwa Shilingi 72,000.
Mama anaupiga mwingi sana
downloadfile-50.jpg
 
Zimepanda baada ya msimu wa kulima kwisha au saizi
 
Nyie wakulima sindio mnaimbaga ule wimbo wa sisiem mbele kwambe uku mmeshika vile vibendela vya kijan na njano (sasa isomen namba )
 
Mbolea (Fertilizer) ni byproduct ya petroleum, hivyo mafuta yakipanda bei na mbolea, plastiki na mamia ya vitu vinavyotokana na mafuta hupanda bei
 
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku

Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.

Bei ya kawaida ilikuwa Shilingi 72,000.
Zipo sababu kadhaa kwanza ni kupanda kwa bei ya mafuta so gharama za usafirishaji zitapanda, pili gharama za kuagiza mbolea na kodi za bandarini. Kumbuka baadhi ya mbolea hazitoki Tanzania. Tatu ni ushindani, demand ya mbolea ni kubwa sana kwa sababu sasa hivi haipatikani. Vita zimefanya biashara isifanyike

Asanteh
 
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku

Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.

Bei ya kawaida ilikuwa Shilingi 72,000.
Kwani hujui sababu?
 
Back
Top Bottom