A
Mama anaupiga mwingi sanaNauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida ilikuwa Shilingi 72,000.
Zipo sababu kadhaa kwanza ni kupanda kwa bei ya mafuta so gharama za usafirishaji zitapanda, pili gharama za kuagiza mbolea na kodi za bandarini. Kumbuka baadhi ya mbolea hazitoki Tanzania. Tatu ni ushindani, demand ya mbolea ni kubwa sana kwa sababu sasa hivi haipatikani. Vita zimefanya biashara isifanyikeNauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida ilikuwa Shilingi 72,000.
Kwani hujui sababu?Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida ilikuwa Shilingi 72,000.