Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
learning difficulties??Usidharu hili nakushauri umpeleke kwa mtaalamu, kwani anaweza kuwa ana learning difficulties. Nilikuwa na jirani yangu alikuwa ni mechanics mzuri sana lakini piga uwa hawezi kusoma kabisa nilipomuuliza akaniambia ana learning difficulties, huenda ikawa ni utoto pia God knows na wewe jitahidi kupata ushauri wa ziada good luck buddy
I know the girl she's too young to read and write but some kids they learn quick, na sikuwa na nia ya arguments ila ni msaada tu kama unaweza msaidia changia,
learning difficulties??
what is learning in your context?
what are ways of learning?
according to your argument can you draw a clear picture between learning disability and Intelligent
wakati mwingine nikimfundisha hunigomea kwa mfano nikimwambia hii j yeye hinibishia na kusema hii ni m ,akiona unamzidi atakuuliza kwa nini ni j!
inaelekea wewe uyu ndo mwanao mkubwa.............
relax wala hajachelewa ila tu wewe ndo unataka awahi unakotaka wewe, mwache mtoto tena usimchoshe kwa kumlazimisha kuelewa ya darasani mwl wake anajua amkuzeje aelewe.
navuta hisia jins unavyokasirika kwasababu anashindwa kuandika bibi na baba af nakuona umepotoka kwasababu hujui mtoto huanza kujua kuandika vizuri kabisa akiwa na umri gani..
Nina binti mwenye miaka 4 na miezi 7 sasa ! kutokana na uwezo wake wa kuchnaganua mambo nilijua ataanza shule akiwa na miaka 5 tu ! Lakini cha kushangaza amekuwa mzito ,hadi sasa hajajua kusoma hata maneno ya kawaida kama baba mama bibi nk !Cha kushangaza ni uwezo wake wa kushika mambo nje ya darasa ! mFANO ANAWEZA KUELEZEA HABARI ALIYOONA KWENYE TV ! na akaichambua kidogo mfano ...atauliza hivi kwa nini wanaoua albino hawakamwatwi !
Au waziri mkuu Pinda ameseama asali ni chakula bora! Au mimi nampenda Rais Obama tu ! Na anajua kuwa sasa hivi kuna mgogogro wa katiba kati ya CCM na UKAWA! Mfano mwingine ni unapo muomba kusali wakati wa kulala ataongea hadi unaogopa! juzi alituacha hoi alipoanza kunukuu maneno ya Bibilia ...Kama yesu alivyosema leteeni mizigo niitawatua ,waacheni watoto wadogo waje kwangu hapo alikuwa amechomekea kuwaombea albino wanaouawa na kujiombea yeye na mdogo wake wataalamu nisaidieni uelewa huu uhamie pia darasni kwenye hesabu na kusoma kwani wakati mwingine nikimfundisha hunigomea kwa mfano nikimwambia hii j yeye hinibishia na kusema hii ni m ,akiona unamzidi atakuuliza kwa nini ni j!
We mtundu !
Dyslexia can be the answer
Ana Jini mbaya nenda kwa mganga