Mbona CHADEMA baada ya uchaguzi walimtenga Kibatala? Hapa wamekosea

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama.

Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri

Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA

Kibatala ktk kesi za kisiasa kama ya Mbowe, covid 19 ameziweza sana.

Sasa tunamuona Kibatala akiongoza jopo la kumtetea Lissu na sio Mkurugenzi au mwanasheria wa chama.
Ktk kitengo cha sheria cha sasa chadema imefeli sana.
 
Muhusika aligombes hata nafasi moja? And kwanza hana phd , so acha kulisha watu false info
 
Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama.

Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri

Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA

Kibatala ktk kesi za kisiasa kama ya Mbowe, covid 19 ameziweza sana.

Sasa tunamuona Kibatala akiongoza jopo la kumtetea Lissu na sio Mkurugenzi au mwanasheria wa chama.
Ktk kitengo cha sheria cha sasa chadema imefeli sana.
Wewe dada una umbea wa kitoto sana,kama wangemtenga angemtetea Lissu? Ulitaka wambebe mgongoni? Ulitulia na mada zako za kimalaya naona umeanza tena ujinga wako.
 
Ana nafasi gani ndani ya chadema yauongozi?
 
Wewe dada una umbea wa kitoto sana,kama wangemtenga angemtetea Lissu? Ulitaka wambebe mgongoni? Ulitulia na mada zako za kimalaya naona umeanza tena ujinga wako.
Hata Shilole anamtetea
 
Kila mmoja ashinde mechi zake

Chadema ni ya Wanachadema, na ccm inawenyewe

CC.. Wasirra 😁
 
Back
Top Bottom