Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Poapoa chalii angu,.nimekusumbua sana ntakuletea mwenyewe mpaka mlangoni,.niwie radhi kwa usumbufu mdogo,.tupo pamoja sana.
 
Nilipojiunga JF dec 2016,Niliikuta couple moja tu ndo ninayoamin ya ukweli sema ban iliwaharibia mudi ya kuzurura mitaa ya JF. Hizi zilizofuatia za 2017 siamin kama kuna ya ukweli hapo bali ni ile kupaishana tu mitaa ya JF.
Zipo lukuki sema zingine kimya kimya zingine wanafanya utani utani kumbe papa zinatolewa.

Ila wewe mgumu kwa couple kinoma yaani viserengeti naonaga vinakuja unavitolea.
 
The bold na nifah kuna linaloendelea nyuma ya pazia pengine washamwagana! maana Nifah haonekani tena since july 03 2017.
 
Poapoa chalii angu,.nimekusumbua sana ntakuletea mwenyewe mpaka mlangoni,.niwie radhi kwa usumbufu mdogo,.tupo pamoja sana.
Poa haina shida Mkuu !!uwe unanipa updates basi ili kuepuka usumbufu alafu niwe na Tumaini la uhakika.

Ujue mpaka nikasema huyu nisababu ya ID fake sasa hataki kuniletea USO USO ?? Ndo maana nikasema ukishindwa nitumie kwa basi namm nikutumie ili kila mtu abaki kua "Mtu asojulikana".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…