Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
HAHHAHANgoja nikufwe na wivu tu maana hali si shwari[emoji5] [emoji5] [emoji5]
😛😛😛😛😛 FURAHIA AM BACKOkey baby nimepata relief sasa maana sio kwa upweke ule looh
Mhhhhh jamani pole sana aiseeh, basi utakuwa unanyota ya umaskini duuh.Carba kashanikataa siku nyingi[emoji22]
Okey baby boy😛😛😛😛😛 FURAHIA AM BACK
Unaongea na simu au mtu? [emoji101] [emoji101]Mhhhhh jamani pole sana aiseeh, basi utakuwa unanyota ya umaskini duuh.
Ila jitahidi utapata tuu embu mfatilie Thad pia aweza kukuonea huruma.
Mwifwa wa kwako nani? Ninong'oneze tafadhali....Nleterewa Nganengo unamjua? Hili jina ni gumu sana, Thad alinifundisha kuliandika ila kutamka siliwezi
Ukitaka uwe na nyota ya kukubaliwa nikubali mimi utaona wale wote wanarudi
AISEEEUnaongea na simu au mtu? [emoji101] [emoji101]
Embu ungana na Mwifwa muwe mwili mmojaUnaongea na simu au mtu? [emoji101] [emoji101]
Ndio yupo mbioni kukufuatilia kwa nyuma, embu mpe ruksaMwifwa wa kwako nani? Ninong'oneze tafadhali....
Kwa Mwifwa nitakuwa wa 201, maana nasikia mpaka sasa anao 200 [emoji12] [emoji12] [emoji12]Embu ungana na Mwifwa muwe mwili mmoja
COPO>>>>>>>COUPLEhivi hizo copo mnapewaga hadi hela za matumizi wenzetu au tu ndo wapenzi hewa?
Shem, hivi wewe na shost yangu mmetajana hapa? Au mnapishana kama magari mabovu ili msiharibiane [emoji12] [emoji12] [emoji12]AISEEE
MMMHNdio yupo mbioni kukufuatilia kwa nyuma, embu mpe ruksa
Huyo 'mhendisam' wa watu mi nitamwezea wapi? Wacha nipambane tu na hali yangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndio yupo mbioni kukufuatilia kwa nyuma, embu mpe ruksa
Shem, nitajie couple yako.....sitakusemea kwa shostCOPO>>>>>>>COUPLE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem, hivi wewe na shost yangu mmetajana hapa? Au mnapishana kama magari mabovu ili msiharibiane [emoji12] [emoji12] [emoji12]
AiseehKwa Mwifwa nitakuwa wa 201, maana nasikia mpaka sasa anao 200 [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Baby unatatizo?MMMH
Embu jitahidi waweza shika namba moja ujueHuyo 'mhendisam' wa watu mi nitamwezea wapi? Wacha nipambane tu na hali yangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]