Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Nleterewa Nganengo unamjua? Hili jina ni gumu sana, Thad alinifundisha kuliandika ila kutamka siliwezi

Ukitaka uwe na nyota ya kukubaliwa nikubali mimi utaona wale wote wanarudi
Mwifwa wa kwako nani? Ninong'oneze tafadhali....
 
Back
Top Bottom