Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani iko hivyo Mkuu.Oouh kwa hiyo kwa kifupi walipokuwa wanaonyesha wamegundua walikuwa wanakosea.
Sema tuvumiliane Mkuu..undugu nikuchanana laivu pale mambo yanapokua sio sawa !![emoji120] [emoji120]
Eti navyojiweka. Najiwekaje wewe.Eeeeeh kweli napenda unavyojiweka..
Humu MMU huwa nachungulia na kusepa pia.. na kwa kuwa humu miaka yote hii unajua lazima waliojaribu wamejaribu na bado wanajaribu kama kawa.
Nalilia ninii tena yaan nishapewa Steve acha nikubali tuMbona unalilia?
Hapana huyo muache kama alivyoNdorooobo wewe, si bora ungepewa manga mjipepee wote.
Teh
Na itetetee papa yako usije kuja kuanikwa bure. Mwenyewe natunza nyangumi yangu.
Kwanza niseme Asante Order yako nmeipokea !!. Nanishukuru kwa kunipa iyo nafasi maana umeniona nafaa kufanya ivo .naomba unitafutie mchumba
naomba unitafutie mchumba
Ndiyo sehemu gani hiyo aseeh..maana ndiyo naiskia kwako Parachichi
POA CHIEF I'LL TRY SOME OTHER TIME...Nilikua nayo aseeh, anzisha uzi omba utaipata.