Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Huu ni ujumbe kwako mkwe.huu ni ujumbe kwao waendelee tu kumfuata yule mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ujumbe kwako mkwe.huu ni ujumbe kwao waendelee tu kumfuata yule mtoto
hahaha acha utaniHapana mkuu, mtego bado haujanasa
Huu ni ujumbe kwako mkwe.
Ndio mkuuhahaha acha utani
ngoja aje, haiwezekani ukamuacha hivihiviNdio mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndicho kilichobaki mkwe, maana hamna namna.mkwe wewe ni wa kunitisha mpaka mimi?
Basi utamshawishi ili nipate kitongangoja aje, haiwezekani ukamuacha hivihivi
hahaha kitonga angalia wasikuite wewe ni mwanaume wa darBasi utamshawishi ili nipate kitonga
Hahahahaaaahahaha kitonga angalia wasikuite wewe ni mwanaume wa dar
hawachelewi watu huku JFHahahahaaaa
Wengine sisi ni wahamiaji, kwa hiyo hatuwezi tukawa wa asili huku jijinihawachelewi watu huku JF
Ndicho kilichobaki mkwe, maana hamna namna.
Hapo ndipo huwa najiuliza hivi huyu mkwe wangu mzima kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134]nilichogundua inahitaji tukupe mjukuu sasa uache kutukalia kohoni...
mama hiyo inaitwa "Akufukuzaye..."Mkwe hivi una habari naweza kukulaani na laana ikakushika kabisa!!!
Kwani baba wa mwanangu humfahamu mpaka usijue wa kumtumia muamala?!!
Mkwe kila siku una kisingizio kipya tu, hivi huyu Heaven Sent unamtaka kweli!!!!
Haha mzee wa chura, me ndo complicated?Katika sayansi yangu ya kusoma watu tabia hakuna mtu complicated na janja janja JF kama Heaven Sent,imenilazimu nilisema hili ili kuweka kumbukumbu vizuri!
Babes babes...mimi namfanya awe hivyo
halafu mambo ya kumsoma na sayansi zako zife leo mkuu.
Mwambie sijaribiwi!!!!mama hiyo inaitwa "Akufukuzaye..."
Anajijaribu mwenyewe tehMwambie sijaribiwi!!!!
Usiku mwema kipenzi.Anajijaribu mwenyewe teh