shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Ahaaa nouma asije akawa ni mamlaka ya usafirishaji tanesco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari kama hizi kwako huwa ni furaha sana.Stress mbaya sana hasa ukizingatia kadhulumiwa watoto hadi nyumba aiseee inauma hio
wacha weeeStress mbaya sana hasa ukizingatia kadhulumiwa watoto hadi nyumba aiseee inauma hio
Hapo ametoka kufanya shoo hana make up wala nini na pia uchovu umetamalaki hapo,,,,afu kaa ukijua mastaa wengi wakitoa zile make up ni wa hovyo angalia sana baada ya kufanya shooNimeangalia interview za hivi karibuni za simba sio siri jamaa kafubaa sana na afya Inaonekana kuzorota kwa kasi saana. Amepungua sana mwili.
Diamond hadi anataka kufanana na ferooz siku hizi!? Kabaki kichwa tu wakati ndio yuko kwenye peak yake ya kimuziki? Kuna kitu hakiko sawa. Washauri wake wamwambie akafanye medical check up kuna kitu hakiko sawa. Diamond anaramba lips zake lakini bado zinabaki na mpauko? Macho yamedumbukia ndani kama karunguyeye anachungulia toka kwenye kichuguu?
Mungu amsaidie simba asiwe na tatizo lolote. Coz Tuna simba wawili tu bongo Simba sports na Simba Chibu. Na hatujajiandaa kumpoteza yeyote kati yao this soon.
Povu ruksa!
View attachment 1120274View attachment 1120275
ina maana hizi makeup zinaweza kumfanya mamba awe na kichwa kama cha nyoka?Huo ndio muonekano wake halisi kama hajafanyiwa makeup na editing
+ editingina maana hizi makeup zinaweza kumfanya mamba awe na kichwa kama cha nyoka?
+ editing
Jamaa wengi tunavyowaona kwenye video au picha zao wakipost sivyo walivyo, wengi tunawaona warefu kumbe wafupi mno, weupe kumbe weusi mno. Sasa huyo picha ya Jamaa iliyoweka humu huo ndio muonekano wake halisi ata ukikutananae mtaani
Hustlers wote sisi mida yao ya kulala ni saa sita usiku na kuamka ni saa 10 usiku.
Kapitia wengi sana,kote huko ni salama kweli.Gridi ya taifa