Mbona Diamond amekonda na kupoteza nuru kwa haraka hivi?

Mbona Diamond amekonda na kupoteza nuru kwa haraka hivi?

mimi sidhani kama mademu anawapiga huwa anatumia condom

#muha na condom ni sawa na maji na mafuta[emoji16][emoji16]
 
ila jamaa ana tunzo kama zote
Screenshot_20190608-153016_Instagram.jpeg
 
Ilikuwa ni saa kumi kasorobo sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waamini akiadhini allah akbar allah akbar akiwa ana maanisha Mungu Mkubwa Mungu Mkubwa,Alikuwa anatinga Raba Raba Mtoni Jeans kali Karl Kani na Shati la Kitenge lenye mabaka ya kenge,mtoto mdogo mwenye kipato pili ana kibito tinted mziki mzito alikuwa ana fujo jumamosi ya sabato,ni KAZEZE NI KAZEZE.
OCG
 
Na akinenepa utasema kanenepa kizembe hahahahahahahaha jali afya ya familia yako itakusaidia
 
Back
Top Bottom