Mbona DPP hakukata rufaa dhidi ya hukumu ya Sabaya?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa.

Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa ALITENDA matendo ya kinyama against human beings, inakuwaje serikali isikate rufaa?

Mwenendo wa kesi hata kwa kijana wa IJA wa certificate ya law hapo Lushoto angeliweza ku sustain / upheld conviction ya magistrate's court.

If that is to be the case, Jamhuri inalea uhalifu.
 
Pamoja na fair Play,Kwa mhuni kama huyu is more than fair Play🤸
 
Mashitaka ya jinai pamoja na mambo mengine, hutegemea sana nia ya kushitaki (intention to prosecute).
Hivyo haki kupatikana itategemea nia ya mtu au watu fulani (wenye nafasi kwenye ofisi za uma kwa wakati huo).
 
Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa. Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa ALITENDA matendo ya kinyama against human beings, inakuwaje serikali isikate rufaa?

Mwenendo wa kesi hata kwa kijana wa IJA wa certificate ya law hapo Lushoto angeliweza ku sustain / upheld conviction ya magistrate's court.

If that is to be the case, Jamhuri inalea uhalifu.

Unajuaje hajakata rufaa?
 
Umma wa wapi ulitegemea Serikali ikate rufaa? Halafu kesi ya Sabaya wala haikuwa na interest yoyote kwa umma sema ninyi ndo mliitangaza mno kana kwamba ni kesi ya maana sana kumbe ilitengenezwa na Mbowe na genge lake la wahuni. Mahakama ilishatenda haki kama unaona hujaridhika kakate rufaa wewe
 
Ignore!
 
Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa.

Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa ALITENDA matendo ya kinyama against human beings, inakuwaje serikali isikate rufaa?

Mwenendo wa kesi hata kwa kijana wa IJA wa certificate ya law hapo Lushoto angeliweza ku sustain / upheld conviction ya magistrate's court.

If that is to be the case, Jamhuri inalea uhalifu.
Hata kuahirishwa kwa hukumu ya leo inatia shaka.
 
Kwahiyo mleta mada unataka Sabaya afungwe miaka 30? Samehe 7 mara 70 nafsi yako itapata amani.
 
Kesi ya Sabaya ilikaa kisanii na Bahati mbaya Mwenyekiti wa chama alidanganywa. 7ya na Makonda ni hazina kwa nchi hii.
 
Back
Top Bottom