Ni kweli. Lakini 200sqm huko Sharif shamba inafika 200m?Mzee kuna sehemu hununui nyumba, unanunua eneo(unamuhamisha mtu), we unadhani kuna mtu anaweza kulipa million 200 kisha akakaa kwenye hicho kibanda.
Magomeni, kinondoni, ilala, kariakoo hapawezi kuwa sawa na mvuti huko, mabwepande, dondwe n.k
Hata huko us unapopasema wewe, kibanda kinachouzwa nyuyoki(Newyork) hakina bei za kuchekeana.
Possibly, Target kubwa watu wakinunua wajenge ghorofaNi kweli. Lakini 200sqm huko Sharif shamba inafika 200m?
Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba ya ajabu inauzwa bilioni kadhaa. Ukiangalia quality, na nyumba kama hiyo ya South au US unakuta imeachwa mbali kabisa. Mbaya zaidi unakuta kakiwanja kauongo.
Nini kinasababisha nyumba kuwa gharama hivyo, au ni kawaida?
Cheki hii nyumba ipo Sharif Shamba. Ukumbwa mita sq 200. Wanauza 200m?
View attachment 2102956
Ukitaka nyumba za bei rahisi nenda Chanika na Chamazi. Jumba zuriiiiii jipya kabisa linauzwa 18Milioni. Zinaitwa jenga uza!!!!!!Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba ya ajabu inauzwa bilioni kadhaa. Ukiangalia quality, na nyumba kama hiyo ya South au US unakuta imeachwa mbali kabisa. Mbaya zaidi unakuta kakiwanja kauongo.
Nini kinasababisha nyumba kuwa gharama hivyo, au ni kawaida?
Cheki hii nyumba ipo Sharif Shamba. Ukumbwa mita sq 200. Wanauza 200m?
View attachment 2102956
Mbovu balaa hizo na nyingi zinanyimwa Material.Ukitaka nyumba za bei rahisi nenda Chanika na Chamazi. Jumba zuriiiiii jipya kabisa linauzwa 18Milioni. Zinaitwa jenga uza!!!!!!
Hatari Sana zile nyumba!Mbovu balaa hizo na nyingi zinanyimwa Material.
Juzi nilienda hukona Fundi kukagua nakuta nyumba haijapigwa Linta ila imefaniyiwa finish nzur sana tuh!