Mbona hatusikii watoto wa Lawi Sijaona Ngwanda wakipewa madaraka kama Nape, January na Ridhiwani Kikwete? Mbona hivi?

Mbona hatusikii watoto wa Lawi Sijaona Ngwanda wakipewa madaraka kama Nape, January na Ridhiwani Kikwete? Mbona hivi?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani.

Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa.

Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu alipigiania uhuru wa taifa letu. Mbona hatusikii juu ya uzao wake kurithishwa madaraka.

N.b Nape hana uwezo wa kuwa kiongozi basi tu.
 
Back
Top Bottom