ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Watu kumi na mbili wametua mwezini. Rovers 3 zimeendeshwa mwezini.
Bro ukiwa kwenye space hutumii mafuta kama Duniani. Rocket inafanya kazi under inertia(newtons first law of motion) "A body will continue is a state of rest or uniform motion unless an external force is applied"Nashangaa wanawezaje wakati mafuta yamepanda bei...🙄
Dunia siyo duara mkuu.Bro ukiwa kwenye space hutumii mafuta kama Duniani. Rocket inafanya kazi under inertia(newtons first law of motion) "A body will continue is a state of rest or uniform motion unless an external force is applied"
Kwahiyo ni matufa kidogo tu ndio hutumika kwaajili kuipa speed rocket after starting up, changing direction ya rocket na kuslow down chombo kikianza kutembea at 50,000km/h itatembea kwa hii speed.
Sawa mkuu, nilijua nimwendo wa diesenga kama huku kijijini Mwaoga, wilayani Chunya, mkoa wa Mbeya Tz...🙄Bro ukiwa kwenye space hutumii mafuta kama Duniani. Rocket inafanya kazi under inertia(newtons first law of motion) "A body will continue is a state of rest or uniform motion unless an external force is applied"
Kwahiyo ni matufa kidogo tu ndio hutumika kwaajili kuipa speed rocket after starting up, changing direction ya rocket na kuslow down chombo kikianza kutembea at 50,000km/h itatembea kwa hii speed.
Hauna mpinzani!Watu kumi na mbili wametua mwezini. Rovers 2 zimeendeshwa mwezini.
Artemis sio Apollo ni 2 different missions. Artemis ni chombo kipya kabisa hii ni testing kwaajili ya kuandaa next mission ya Artemis 3. Kila exploration Ina mission yake mission ya Apollo na mission ya Artemis ni tofauti.
Dunia ni sphere ambayo sio perfect. Gravity ndio inafanya Dunia na most bodies ziwe hivyoDunia siyo duara mkuu.
Ligi imeanza 🤣 Dunia ni kama sahani
Nadhani zinafaida kubwa sana maana most things we see ni result ya curiosity. Mfano: Kutokana na cold war na vita ya pili ya Dunia unaweza kudhani impact haikuwepo ila wanajeshi wa ARPANET waliweza kusaida tukapata internet ambayo may be kama sio hii vita ingetuchukua muda kufigure hii issue.Ivi izo safari zinafaida gani kwa maisha ya waduniani
Wapo wadau wamesoma humu ndani madam 😂Hauna mpinzani!
Reconaisance maana yake ku explore more informations ambazo wakati ule hawakuzipata si unajua mara ya kwanza unakuwa na kiweweKwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
Ni kweli ila hawakufikii🤣Wapo wadau wamesoma humu ndani madam 😂
Ivi kwa watu wanaosema kuwa hao wanasayansi wanadanganya kuwa hawaendi popote eti wanapiga picha sehemu hii ya dunia, unasema je kuhusu hilo?Nadhani zinafaida kubwa sana maana most things we see ni result ya curiosity. Mfano: Kutokana na cold war na vita ya pili ya Dunia unaweza kudhani impact haikuwepo ila wanajeshi wa ARPANET waliweza kusaida tukapata internet ambayo may be kama sio hii vita ingetuchukua muda kufigure hii issue.
Coming back to your point space exploration ni muhimu mno. Curiosity ya space imetusaidia kuja na satellite ambazo zinatupa mawasiliwano, GPS na ulinzi. Kama sio hizi space exploration pengine tungeishu humu duniani bila kujua Kuna nini nje. Pia zinatusaidi ku explore uwezekano wa maisha kwenye sayari nyingine mfano: Program ya Mars inatusaidia kuweza kuangalia uwezekano wa maisha kwenye hizo sayari. Other notable place ni tunajaribu kuchungza nyota nyingi on our Galaxy tujue kama Kuna viumbe vingine.