Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ipo live netflix sasa ukashuhudie mkuu😅Sasa ulikuwepoooo???
In brother's K voice.
Ipo live netflix sasa ukashuhudie mkuu😅Sasa ulikuwepoooo???
In brother's K voice.
Ivi unasemaj kwa wale wanaosema kua hao wanasayansi kua hawajawahi kutoka nje ya dunia hii ? Kua wanapiga picha sehemu ambayo kwenye ramani ya dunia haipoNadhani zinafaida kubwa sana maana most things we see ni result ya curiosity. Mfano: Kutokana na cold war na vita ya pili ya Dunia unaweza kudhani impact haikuwepo ila wanajeshi wa ARPANET waliweza kusaida tukapata internet ambayo may be kama sio hii vita ingetuchukua muda kufigure hii issue.
Coming back to your point space exploration ni muhimu mno. Curiosity ya space imetusaidia kuja na satellite ambazo zinatupa mawasiliwano, GPS na ulinzi. Kama sio hizi space exploration pengine tungeishu humu duniani bila kujua Kuna nini nje. Pia zinatusaidi ku explore uwezekano wa maisha kwenye sayari nyingine mfano: Program ya Mars inatusaidia kuweza kuangalia uwezekano wa maisha kwenye hizo sayari. Other notable place ni tunajaribu kuchungza nyota nyingi on our Galaxy tujue kama Kuna viumbe vingine.
Nadhani ni kutokuwa na Imani na shirika la NASA, sometimes ignorance/kutokufahamu. Ukweli ni kwamba wanaanga(Anstronounts) wapo live 24 hours anytime ukitaka kuverify unaweza ukaenda kuangalia pia siku chombo linarudi kwenye tarehe 10 itakuwa live.Ivi kwa watu wanaosema kuwa hao wanasayansi wanadanganya kuwa hawaendi popote eti wanapiga picha sehemu hii ya dunia, unasema je kuhusu hilo?
Mahesabu ya kwanza kufanywa na NASA kwenda Mwezini yalifanywa na mama huyu mwaka 1960Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
Does it mean kwamba tokea kipindi hicho cha Cold war hakujawahi kufanyika tena safari za kwenda mwezini? Je, hizi safari za space tumekuwa tukizishuhudia mara kwa mara over the years, hawa NASA wanaendaga wapi.Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
Mkuu fatilia kuanzia chombo kinaruka kule California utajua ukweli mimi naamini maana Hawa jamaa wa NASA huwa nawafatilia Katika mambo mengi ya anga wanayofanya.Ivi kwa watu wanaosema kuwa hao wanasayansi wanadanganya kuwa hawaendi popote eti wanapiga picha sehemu hii ya dunia, unasema je kuhusu hilo?
Lengo nilikuwa kukuona upande wa nyuma ambao haujawahi kuonwa na mtu yeyote.Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
Wanaendaga kwenye International Space Station.Does it mean kwamba tokea kipindi hicho cha Cold war hakujawahi kufanyika tena safari za kwenda mwezini? Je, hizi safari za space tumekuwa tukizishuhudia mara kwa mara over the years, hawa NASA wanaendaga wapi.
This is ridiculously!!!
Ahaaa thanksWanaendaga kwenye International Space Station.