Mbona hii mission ya mwezini sijaielewa, ni kweli tuliwahi kutua mwezini miaka ya nyuma?

Ivi unasemaj kwa wale wanaosema kua hao wanasayansi kua hawajawahi kutoka nje ya dunia hii ? Kua wanapiga picha sehemu ambayo kwenye ramani ya dunia haipo
 
Ivi kwa watu wanaosema kuwa hao wanasayansi wanadanganya kuwa hawaendi popote eti wanapiga picha sehemu hii ya dunia, unasema je kuhusu hilo?
Nadhani ni kutokuwa na Imani na shirika la NASA, sometimes ignorance/kutokufahamu. Ukweli ni kwamba wanaanga(Anstronounts) wapo live 24 hours anytime ukitaka kuverify unaweza ukaenda kuangalia pia siku chombo linarudi kwenye tarehe 10 itakuwa live.

Skeptics Kuna. Wakati wanajaribu kupinga what scientists are doing but ukweli ni kwamba everything is open and anyone can verify.
 
Wenzetu wanamawazo makubwa sisi Tunapambana na Machawa
 
Mahesabu ya kwanza kufanywa na NASA kwenda Mwezini yalifanywa na mama huyu mwaka 1960


Katherine Johnson
 

Attachments

Does it mean kwamba tokea kipindi hicho cha Cold war hakujawahi kufanyika tena safari za kwenda mwezini? Je, hizi safari za space tumekuwa tukizishuhudia mara kwa mara over the years, hawa NASA wanaendaga wapi.
This is ridiculously!!!
 
Ivi kwa watu wanaosema kuwa hao wanasayansi wanadanganya kuwa hawaendi popote eti wanapiga picha sehemu hii ya dunia, unasema je kuhusu hilo?
Mkuu fatilia kuanzia chombo kinaruka kule California utajua ukweli mimi naamini maana Hawa jamaa wa NASA huwa nawafatilia Katika mambo mengi ya anga wanayofanya.
 
Lengo nilikuwa kukuona upande wa nyuma ambao haujawahi kuonwa na mtu yeyote.
 
Does it mean kwamba tokea kipindi hicho cha Cold war hakujawahi kufanyika tena safari za kwenda mwezini? Je, hizi safari za space tumekuwa tukizishuhudia mara kwa mara over the years, hawa NASA wanaendaga wapi.
This is ridiculously!!!
Wanaendaga kwenye International Space Station.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…