Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

1. Ndoa za mitala zimepusha janga
(Imani yao islamic imesaidia Sana)

2. z'bar wanawake wao wanajisitiri Sana
(Hawavai nus-uchi kuongeza matamanio)

3. Kupata mwanamke wa kujipigia one-night stand wa mitaani kwa z'bar Ni shughuli pevu sn.
(Wanaogopa zinaa balaa, kila binti anataka ukaonekane kwao Kwanza. Kwa Wapiga night-stand huo mlolongo Ni big turnoff)

4. Wanawake wa z'bar wanatembea haraka Sana,afu hawamwamini mtu kirahisi.
(Ngumu sn kumsimamisha akasimama na hakujui)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom