Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?

Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.

Bado nahisi tuna shida mahali.

Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.

View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
 
***** huyu ni mtoto wa sinza kabisa.
 
Itakuwaa mnyakiusaa wa mbeyaa aliyejipataa mkuu...

Wanasema Rwanda inavuna madini misitu ya Kongo ,hv nasi majeshi yetu ya Tz hayawezi vunaa madini na Mali Kwa kisingizio Cha kuingiaa vitani kuwasaidia wakongo dhidi ya waasi...🤔🤔

Maana Kongo inaonekana shambaa la bibi haswaa..
 
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?

Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.

Bado nahisi tuna shida mahali.

Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.

View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
Huyu ni Mkongo original kabisa na marafiki wengi wa ki Congo wanaongea kiswahili kama huyo
 
East Africa ni Tanzania tu tunaweza ongea kiswahili kama huyo jamaa.
acha uongo ni wengi sana wasio watanzania wanaongea kuswahili fasaha ni ww tu hujawahi kuwasikia wapo hadi wazungu,na kwa East Afrika ukiacha raia wa kawaida mtaani kuna rais wa kenya Ruto na pia Kagame hao wanaongea kiswahili fasaha.! kama unabisha sema uwekewe clips zao wakiongea kiswahili uwasikie na ww
 
Wanyarwanda wengi wanasoma Tanzania mpaka vyuo vikuu na wengine kupata kazi kabisa. Kabla ya kupotea na kurudi kwao wakikamilisha misheni au kuhitajika.
Umenikumbusha habari za Prof. Wamba Dia Wamba profesa gwiji pale UDSM enzi hizo! Kumbe rebel bwana; can't believe.
 
acha uongo ni wengi sana wasio watanzania wanaongea kuswahili fasaha ni ww tu hujawahi kuwasikia wapo hadi wazungu,na kwa East Afrika ukiacha raia wa kawaida mtaani kuna rais wa kenya Ruto na pia Kagame hao wanaongea kiswahili fasaha.! kama unabisha sema uwekewe clips zao wakiongea kiswahili uwasikie na ww
Weka hizo clip hapa.
 
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?

Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.

Bado nahisi tuna shida mahali.

Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.

View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19

Hawa ni watu wamekulia makambini au mitaa ya bongo ambako kiswahili kinaongelea
 
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?

Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.

Bado nahisi tuna shida mahali.

Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.

View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19

Kwani Kiswahili ni lugha ya Tanzania peke yake??
 
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?

Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.

Bado nahisi tuna shida mahali.

Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.

View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19

Kama Joseph Kabila kakaa Dar, kasoma Zanaki jioni, MCongo kuongea Kiswahili cha Dar si ajabu.

Kwanza anaanza kwa kusema "Ninadhani hii swali, kila mara tunaijibu".

Hakuna mtu wa Dar anayesema "Hii swali kila mara tunaijibu".

Dar tunasema "Hili swali kila mara tunalijibu".
 
Back
Top Bottom