Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

Miaka ya elfu mbili kuna jamaa tulikua pamoja kwenye mafunzo ya kung fu,uyo jamaa kasomea tz na anongea kiswahili vizuri tu.
Muda kupita akapotea tukaja kumuona kwenye misafara ya Kagame.
 
Tukisema sisi tuna watu kila mahala, hii ndio maana yake. Mwacheni kijana wetu atekeleze majukumu yake, huu ni mchezo wetu na tunajua sisi tunavyoucheza
 
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?

Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.

Bado nahisi tuna shida mahali.

Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.

View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19

Hakuna mtz ataongea wafanya habari. Sema kakaa sana bongo japo sio mbongo!
 
Muhimu lianzishe then utajua nani mzamiaji na nani anakula bure , kama bado utakuwa mzima, ukabila haujawahi kumwacha mtu salama na Nyerere aliwahi kuonya hilo
Kwa hiyo unamaanisha kila raia aliyepo humu ni mzamiaji?
 
Kwa hiyo unamaanisha kila raia aliyepo humu ni mzamiaji?
Hao wasomali, warundi etc na wakimbizi wengine wote historia ni moja tuu, waliita wengine wazamiaji huko walikotoka then wakajikuta wao wamekuwa wazamiaji , ukabila haujawahi kumwacha mtu salama nakazia
 
Sisi wengine ni wajukuu wa lile fuvu la kale, lililovumbuliwa pale olduvai
 
Back
Top Bottom