East Africa ni Tanzania tu tunaweza ongea kiswahili kama huyo jamaa.Inawezekana ametembea sana East Africa au amesomea.
***** huyu ni mtoto wa sinza kabisa.Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania ๐น๐ฟ tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.
View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
Hapana, Burundi pia wanaongea hivyo Rwanda pia na Kenya.East Africa ni Tanzania tu tunaweza ongea kiswahili kama huyo jamaa.
Huyu ni Mkongo original kabisa na marafiki wengi wa ki Congo wanaongea kiswahili kama huyoHuyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania ๐น๐ฟ tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.
View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
acha uongo ni wengi sana wasio watanzania wanaongea kuswahili fasaha ni ww tu hujawahi kuwasikia wapo hadi wazungu,na kwa East Afrika ukiacha raia wa kawaida mtaani kuna rais wa kenya Ruto na pia Kagame hao wanaongea kiswahili fasaha.! kama unabisha sema uwekewe clips zao wakiongea kiswahili uwasikie na wwEast Africa ni Tanzania tu tunaweza ongea kiswahili kama huyo jamaa.
Umenikumbusha habari za Prof. Wamba Dia Wamba profesa gwiji pale UDSM enzi hizo! Kumbe rebel bwana; can't believe.Wanyarwanda wengi wanasoma Tanzania mpaka vyuo vikuu na wengine kupata kazi kabisa. Kabla ya kupotea na kurudi kwao wakikamilisha misheni au kuhitajika.
Weka hizo clip hapa.acha uongo ni wengi sana wasio watanzania wanaongea kuswahili fasaha ni ww tu hujawahi kuwasikia wapo hadi wazungu,na kwa East Afrika ukiacha raia wa kawaida mtaani kuna rais wa kenya Ruto na pia Kagame hao wanaongea kiswahili fasaha.! kama unabisha sema uwekewe clips zao wakiongea kiswahili uwasikie na ww
Hawa ni watu wamekulia makambini au mitaa ya bongo ambako kiswahili kinaongeleaHuyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania ๐น๐ฟ tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.
View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
Hahhahahaha na wengi hawalijui ilo wanahis ni Tz peke ndo wanaongea kiswahil kizuriTatizo mitanzania inajionaga special ikiwa imejfungia ndani๐๐
Goma, burundi rwanda uganda watu wanaongea kiswahili vizur kuliko hata uyo pot
Kwani Kiswahili ni lugha ya Tanzania peke yake??Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania ๐น๐ฟ tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.
View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
Kama Joseph Kabila kakaa Dar, kasoma Zanaki jioni, MCongo kuongea Kiswahili cha Dar si ajabu.Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania ๐น๐ฟ tuache mambo ya ujirani mwema, tunatakiwa tuanze kuwa na roho ngumu kwelikweli.
View: https://x.com/IGIHE/status/1885031018551533985?t=ZoXWAhPrEJ6-bOMNzfSfAw&s=19
Kenya, Rwanda na Msumbiji kuna watu wengi wanaongea Kiswahili kilichonyooka sana tu.East Africa ni Tanzania tu tunaweza ongea kiswahili kama huyo jamaa.