Mbona huyu TID amekwisha hivi??

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
1,223
Reaction score
585
Jamani huyu jamaa ana'keep figure au ni mambo yetu yaleeeeee.....
 
Attachments

  • T.i.d1.JPG
    81.8 KB · Views: 14,309
Ngoja niikuze kidogo hapa tumuone kwa ukaribu

mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.

Hivi kwa hawa vijana wa muziki (kizazi kipya) na sinema ili ukamilike katika fani llazima uvute bangi na\au kufakamia miunga?
 
Hivi kwa hawa vijana wa muziki (kizazi kipya) na sinema ili ukamilike katika fani llazima uvute bangi na\au kufakamia miunga?
hapo ndio unaonekana umekamilia wapuuzi hawa nawachukia sana ,nimemsikia eti anaimb asubuhi nikasema kama ni wakujifunza kajifunze
 
kuzaa siyo kupata!!!!!!!!!??????????????? kilio kila upande?????????
 
mtaanza kusema ni Bangi na Unga, na wa kulaumiwa Clouds FM
 
Hivi kwa hawa vijana wa muziki (kizazi kipya) na sinema ili ukamilike katika fani llazima uvute bangi na\au kufakamia miunga?

hapo alipo nywele kabadilisha zipo kama za hadija kopa.sijui mwenyewe ndo kaweka rangi gani. kazi kwelikweli. mia
 
Umangwea na u-ray c utawamaliza.
 
Kwa kweli wanahitaji msaada,hivi huwa hawapewi seminars hivi.....yaani 'mtu imekonda kama mfupa ya panya',eti mmesema anataka kuwowa??? Nivea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…