Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.
hapo ndio unaonekana umekamilia wapuuzi hawa nawachukia sana ,nimemsikia eti anaimb asubuhi nikasema kama ni wakujifunza kajifunzeHivi kwa hawa vijana wa muziki (kizazi kipya) na sinema ili ukamilike katika fani llazima uvute bangi na\au kufakamia miunga?
Hivi kwa hawa vijana wa muziki (kizazi kipya) na sinema ili ukamilike katika fani llazima uvute bangi na\au kufakamia miunga?
Mmmh, ngoja nipite tu