sasa ndugu yangu humu tupo celebrities forum? Unaelewa lakini? Tunajadili na kupiga umbea kuhusu wasanii kwa ujumla..we kama hupendi hayo yapo majukwaa mengi tu jamiiforums kwa ajili yenu mlio serious..nenda huko..hizo media za majuu ndo zimejaa udaku kuliko bongo...kila mahala na watu wake kijana...hupendi unahamia kwingine
Mzee wa nchi Rais Kikwete amekwisha jitolea kuwatibu endeleeni na biashara hiyo.Ray C alionyesha njia, Mhe wasanii wanaongezeka wala unga nafikri uanzishe taasisi ya kuwasaidia wote badala ya kuchagua mmoja mmoja.Dah masikini.,kweli maisha ni tambara bovu.Vijana wanaangamia sasa hawa ni wasanii ndo mana wanajulikana,vp wale ambao wako mtaani na ndiyo idadi kubwa ya waathirika wa drugs.Nguvu kazi ya taifa inapungua.
Mola ibariki Tanzania,
Walimwengu bwana! Sasa maisha ya huyu yanakuhusu nini? Kawa ni ujinga/ubora ni wake, kuna mambo mengi ya kufuatilia katika maisha, nianze kuumiza kichwa kwanini TID amekonda nitakuwa na akili kweli?
Kwani Ana umri gani jamani msikute kashjizeekea
Kila mtu ni kioo cha jamii katika nyanja zake.
Sijaona umatumbi umehusika vipi.
Acha hizoo! We ni Matumbi tu! Msanii ni kioo cha jamii na akipotoka jamii lazima imjadili!!!!
anataka kuoa?kheee sasa huyu anaoa ninj
virusi + unga + Clouds Fm.
Mabange na unga!!
Mkuu Marijuana sio kama unavyoifikiria kila mtu na kichwa chake kama unavyoiona pombe labda kwenye Cocaine+Heroine ndo nitakuSupport,,,nimeSmoke Weed 20yrs hakuna kibaya kwangu hadi dakika hii.
mwanzoni kabla mtu hajawa chronic anapiga game ndefu kama katumia mundende!...stimu za ngada ukiwa katika game hamna starehe ya kufananisha nayo hapo duniani kwa mujibu wa wanangu ambao walikuwa wanagonga hii kitu wakiwa wana mechi.......kwa wakinondoni hili wanajua na ndo sababu ya baadhi ya wana kuingia katika huu uteja!..........binafsi ngada naipinga sana kwani huwezi kuicontrolHivi hata libeneke kunako 6*6 linawzekana kweli??Hebu tumwite Mzizi Mkavu atusaidie kama mateja wana uwezo wa kusimamisha sawasawa na kupiga game ya kiwango!!!LOL:bange:
Mkuu Marijuana sio kama unavyoifikiria kila mtu na kichwa chake kama unavyoiona pombe labda kwenye Cocaine+Heroine ndo nitakuSupport,,,nimeSmoke Weed 20yrs hakuna kibaya kwangu hadi dakika hii.