majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 585
- Thread starter
- #81
sasa ndugu yangu humu tupo celebrities forum? Unaelewa lakini? Tunajadili na kupiga umbea kuhusu wasanii kwa ujumla..we kama hupendi hayo yapo majukwaa mengi tu jamiiforums kwa ajili yenu mlio serious..nenda huko..hizo media za majuu ndo zimejaa udaku kuliko bongo...kila mahala na watu wake kijana...hupendi unahamia kwingine
well said mkuu!!!
Aende great thinkers akaonyeshane kazi na akina Mchambuzi lol...huku anatuonea bureee
Last edited by a moderator: