Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Mkuu umenisikitisha Sana. Ukumbi wa Bunge la Tanzania ni mzuri na wa gharama Mara elfu ya ule wa mabunge ya uingereza, lakini ndio Bunge lenye vilaza wengi kuliko mabunge yote duniani[emoji39][emoji16]
Nikiwa Mtanzania nakubaliana na wewe. Bunge letu lina watu kama Kibabaji, Msukuma, Sanga, na yule mama wa wa CCM mwenye maneno kama maneno ya kwenye khanga mama wa mipasho anaga point. Ukweli ukichukua wabunge wetu ukawachanganya na waKenya utaona % kubwa watakuwa kama zombies
 
Hapo panazidiwa na kwa hayati bilionea reginald mengi pale kinondoni[emoji23]

Wewe kweli akili umepoteza wapi?
State House ama presidential palace ni jumba la kuonyesha nguvu/power. Sio ukumbi wa maombi kama hio ya Tanzania.

Na kuna majumba mengi ya kibinafsi ambayo ni makubwa kuliko palaces.

State House ama palaces mingi ziko na Greek-style pillars? Waanzilishi wa demokrasia.

Hiyo yenu ya Tanzania ni wannabe wa zile golden palaces za middle east. Lakini ata haikaribii. Haivutii kusema kweli.
 
Mkuu natambua sana hill kuwa kuna Ikulu inazidiwa na mijengo mingi tu

Ila palace ya Kenya it's too local
Wewe kweli akili umepoteza wapi?
State House ama presidential palace ni jumba la kuonyesha nguvu/power. Sio ukumbi wa maombi kama hio ya Tanzania.

Na kuna majumba mengi ya kibinafsi ambayo ni makubwa kuliko palaces.

State House ama palaces mingi ziko na Greek-style pillars? Waanzilishi wa demokrasia.

Hiyo yenu ya Tanzania ni wannabe wa zile golden palaces za middle east. Lakini ata haikaribii. Haivutii kusema kweli.
 
Nikiwa Mtanzania nakubaliana na wewe. Bunge letu lina watu kama Kibabaji, Msukuma, Sanga, na yule mama wa wa CCM mwenye maneno kama maneno ya kwenye khanga mama wa mipasho anaga point. Ukweli ukichukua wabunge wetu ukawachanganya na waKenya utaona % kubwa watakuwa kama zombies
Hata kisemeo Chao wewe unakionaje? Apana sio kisemeo ni kile kitoa sauti [emoji16]
 
Cha kwao kiko sawa na ukileta za kuleta kisemeo kinaruhusu mnazichapa kuondoa udhia, chetu unaitiwa wale askari wanakupiga Tanganyika jeki
 
IMG_20190527_170604.JPG

Hapa chini ni maktaba ndani ya mjengo
IMG_20190527_170624.JPG
 
Mkuu natambua sana hill kuwa kuna Ikulu inazidiwa na mijengo mingi tu

Ila palace ya Kenya it's too local

I see why it would seem so to people without class.

First of all, its not a palace. It's the presidential office. The only president who has ever slept there is Kibaki.
Secondly, it's not the best looking presidential residence in the world, but it is hundreds of times better-looking than that mosque in Dar.
 
Ok thanks for your alert, please let me know why the uhuru is not sleeping there

Our own white house in Tanzania built by the colonists that is not mosque

Because his family house literally shares a wall with State House.

Obviously the colonialists in Tanzania took inspiration from Arab houses. Unfortunately Arab houses are not usually beautiful.
 
Mazingira pamoja na majengo ya Ikulu ya Kenya ni ya kawaida sana
Ukiangalia hata ukumbi wa mikutano designed very poor compare to that of Ikulu ya Tanzania
Yaani Kama kusingekuwepo nembo ya harembee ungesema labda ni hostel

Take it as a challenge mbadilishe Ikulu wakenya Hiyo ndio taswira ya nchi

Ikulu ya Tanzania inavutia sana
ila kwa tanzania hiyo ni ikulu ya zamani ya rais. tusubiri ikulu ya dodoma itafananaje
 
Lol.. Maskini milioni 60 na mnaongea kuhusu kujenga ikulu zingine?
Upumbavu mkubwa.

Kenya tumetosheka na ikulu iliyojengwa 1907. Hatujengi ingine.
Na kama wakoloni hawangejenga hio ikulu Nairobi, raisi hapa angetafutiwa apartment kama Prime Minister wa UK. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom