Nikiwa Mtanzania nakubaliana na wewe. Bunge letu lina watu kama Kibabaji, Msukuma, Sanga, na yule mama wa wa CCM mwenye maneno kama maneno ya kwenye khanga mama wa mipasho anaga point. Ukweli ukichukua wabunge wetu ukawachanganya na waKenya utaona % kubwa watakuwa kama zombiesMkuu umenisikitisha Sana. Ukumbi wa Bunge la Tanzania ni mzuri na wa gharama Mara elfu ya ule wa mabunge ya uingereza, lakini ndio Bunge lenye vilaza wengi kuliko mabunge yote duniani[emoji39][emoji16]