Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Nilishakimbia muda...
Mi na JF yangu...
Mtandao wowote unaokupa uwezo wa online tube kaa nao mbali
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Tumia websiteKatika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Yes insta ni hatari kwasababu ya video nyingi zinatafuna sana mbKatika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Ukiweza futa app tumia Instagram kupitia web, hii inasaidia video utakuwa unaziplay ukihitaji tu.Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Mm napiitiaa kwa speed Sana hbr muhimu tu ndio nacheki hata MB zangu za Airtel za buku moja naingia Instagram ,Twitter,na jamii forum kwa siku tatu had nne na inanitosha tuInstagram ni jini lile, linanyonya Mb kama Damu vile, usipokuwa na self control Instagram inaweza kukufanya ukajiunga bando kila siku.
Anyway me pia nilikuwa muhanga wa hilo, ili kuendana na huu ukata na vifurushi kuwa bei juu niliamua kubadirika.
Niliamua kuwa na self control tu maana japokuwa kweli tuna enjoy huko mjini Instagram ila hakuna cha maana tunachoingiza, unless otherwise uwe unafanya biashara za mitandaoni.
Nilijiwekea ratiba ya kuingia mjini Instagram, Kwa siku naingia mara 3 tu, kuanzia asubui ya 3-4 kisha natoka, narudi tena jioni ya 10-11 kisha namalizia na usiku wa sa 3-4
Target ikiwa ni kuvizia matukio muhimu, mfano kama Mimi napenda sana mpira so info za mpira kama zitatokea night nishalala, basi nitazikuta asubui sa 4, na kama zitatokea nishatoka huko nitazikuta jioni, na zikitokea jioni nazimalizia usiku, kwahiyo ni kama vile life cycle hivi.
Kwahiyo saizi natumia zangu Mbs 3300 kwa week, najiunga kila jpil, na kama ikitokea jpil imefika bado zipo basi naenda kuzimalizia YouTube kabla sijaunga zingine.
Internet ya airtel ikojeMm napiitiaa kwa speed Sana hbr muhimu tu ndio nacheki hata MB zangu za Airtel za buku moja naingia Instagram ,Twitter,na jamii forum kwa siku tatu had nne na inanitosha tu
Maneno hayatumii mb kama picha na videonakubaliana naww jf inatumia kiduchu sana yaan had nashangaa
Algorithms kaziniKatika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?