Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

Baaada ya kuona wanatukomoa bas nikaona nitulie Happ siyo lzm nizame inst
 
Hii ni kwa mtandao gan mkuu? na kama sitaki postpaid nataka niwe nalipa cash inakuwaje? T&C's zikoje?
Tigo. Kama upo tayari njoo PM nikupe mawasiliano ya Mtu wa Tigo atakujibu maswali yako yote.
 
Tumie kitu inaitwa aeroinsta ni mod version lakini inaiga kazi kama ile ya instagram ili uipate andika tu aeroinsta apk kwa google then ingia aeroinsta setting gusa kwenye feed hapo unaweza kufanya video isiplay auto hadi uiguse pia inakuja na sauto kabisa sio hadi uuguse sound button pia unaweza download viclip vyote vya insta kubwa kuliko yote kuna setting ya kufanya video iplay kwenye low resolution mimi mb 500 zangu hata nishinde insta bado nakula maisha.......
Screenshot_20221020-000120.jpg
Screenshot_20221020-000107.jpg
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data ni pamoja na instagram
Yaani kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?

Achana nayo haina maana
Ila kama inakufanya upate KULA UGALI
SAWA TU endelea kuitumia
 
Back
Top Bottom