Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

Mimi niligundua uchawi ni auto play ya videos nikaangaika setting hola. Nimeamia google chrome.
Wadau vipi JF kati ya app na chrome.
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Sababu ni hizo video za Instagram. Mie naenda kuipiga chini mazima!
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Tumia Instagram Web
 
SETTINGS!
... hakikisha umerekebisha settings za Instagram, Twitter, ... etc etc kiasi ambacho 'videos' hazina 'autoplay' yaani hazichezi bila wewe kuzitaka zicheze!
KAMA HUJUI USIONE AIBU KUULIZA KWA JIRANI AU KIJANA WAKO MSOMI! [emoji28]
Hebu toa Elimu kuhusu hii. Tunateseka wengi.
 
Uninstall Instagram nafikiri hutapata shida tena
 
Wanaweza kuja wale jamaa wa bandle za bure sasa hivi, nakutahadharisha kuwa makini

Kama sio kwa VPN basi hakuna namna ya kula free bandle usilipie
 
Telegram haili bundle unless you are downloading videos and movies. Nahisi hujacheza na settings za auto download ndo maana kila unapoingia picha na video zina download automatically.
Ukisema hivi na sisitutakuambia hujatumia Instagram lite......

Telegram inakula bandle for sure maana haipunguzi quality ya picha wala video inakuja kama ilivyo
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Download instapro apk login in nenda setting reduce photo quality na video quality zima autplay utasave vigb zako
 
Back
Top Bottom