Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

Now kuna swala La Fitness kupunguza speed ya mtandao Voda lakin
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Siupendi kabisa huo mtandao
 
10 arguments for deleting social media accounts by jaron Lanier
 
Huko huwa natumia kwa wifi ya ofisini yani mida nikiwa ofisini ndio naperuzi insta. Hata hivo huko hakuna cha maana zaidi ya madeni kulingishia matako tu.
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Tumia Instagram Lite mkuu haili bando sana hata ushinde huko
 
Dah yaani hii ni kutesana kweli kweli jamani
 
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data n pamoja na instagram
yaan kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!

Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.

Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Tumia vi pi eni
 
hvi mnapata faida gani kwenye hio mitandao unakuta mtu yupo insta, tiktok, fb, snapchat na kote huko hana biashara anafanya ni kuzunguka kutafta umbea na video za kipumbavu kwan ukiwa na app yako ya jf info kibao unazipata humu mnahangaika naomba mungu bundle zipande bei zaidi ili mpunguze viherehere
 
INSTA NI JINI MAKATA MNYONYA DAMU AKA KOPOLE YANI KAMA UMEJIUNGA GB1 DK5 TU SMS ndugu mteja umetumia 75% ya kifurushi chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…