The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Hivi bro kichwani una japo kidogo ile akili ya kuzaliwa nayo?acha hizi artificially za kukaririshwa shuleni na madrassa nauliza ile ulitoka nayo tumboni mwa mama yako!Mnachekesha sana.yaani mtu atekwe Israel alikopelekwa kusoma halafu lawama apelekewe Hamas.
Na hiyo yote ni kwa vile hili tukio limemuhusisha muislamu.Halafu mnasema watanzania wanaleta mambo ya udini.
kama angekufa nchi ya kiislamu si kuilaumu hiyo nchi tu bali na fidia tungedai
Kumbuka shambulio bandia la New York .Marekani iliiangushia zigo Saudia na nakumbuka mpaka akaunti nyingi za waislamu na Saudia zilitaifishwa wakati wala hawakupewa taarifa ya tukio hilo.Waliokuwa na taarifa ni Israel pekee.
Mbona nyinyi wenye bongo zisizokuwa makamasi sikuwahi kuwasikia mkishangaa mkasa huo.
Watanzania waliotekwa kwanza Israel iseme mazingira ya kutekwa kwao na huyu aliyekufa alikufa wapi..Wote wawili walikuwa shule au kwenye kambi zao.Halafu wadaiwe fidia ya mabilioni ya dola ziwafae wanafamilia.Waache ujanja wao na visa vyao.
Wewe kinakuuma kifo cha Mtanzania mwenzako au unaumia Hamas kutajwa kama chanzo cha kifo chake?yaani afe ngozi nyeusi mwenzako,mna-share utaifa,bara moja sometimes hata ktk muingiliano wa jamii tulio nao bongo upo uwezekano kuna wanandugu wanafamiana kati ya wewe na marehemu lakini hilo hujali unasimama na ngozi nyeupe?
Una akili za kipekee wewe jamaa