Mbona Israel hawajamtambua mateka wa Tanzania aliyekufa

Hivi bro kichwani una japo kidogo ile akili ya kuzaliwa nayo?acha hizi artificially za kukaririshwa shuleni na madrassa nauliza ile ulitoka nayo tumboni mwa mama yako!

Wewe kinakuuma kifo cha Mtanzania mwenzako au unaumia Hamas kutajwa kama chanzo cha kifo chake?yaani afe ngozi nyeusi mwenzako,mna-share utaifa,bara moja sometimes hata ktk muingiliano wa jamii tulio nao bongo upo uwezekano kuna wanandugu wanafamiana kati ya wewe na marehemu lakini hilo hujali unasimama na ngozi nyeupe?

Una akili za kipekee wewe jamaa
 
Kwa kweli tulipofikia inatia kinyaa. Hamas wamemteka kijana mwanetu aliyekuwa Israel nadhani wakamfanya mateka, sasa kuna vichaa wanakuja na kuilaumu Israel tena dah!
Ivi kuna ushahidi kuwa alikua ni mateka wa Hamas? Au taarifa kamili inayoeleza kifo chake kimesababishwa na nini au amefariki akiwa wapi( Gaza au Israel)?

Taarifa imetolewa bado haijitoshelezi so haipaswi kutupa lawama kwa Israel wala Hamas. Ku'judge kitu bila taarifa kamili ni upumbavu tu kila mtu atavutia upande wake
 
Hapa mnnataka kutuaminisha kuwa kauliwa na Hamas, ukweli kuuliwa na Israel Serikali yenyewe imeleta taarifa isiyo kamili ili kujaribu kubalance, kumbuka serikali inasema haifungamani na upande wowote, hivyo wasingesema ISRAEL, ishu ni kafa, Israel wameombwa watusaidie mwili urudi nyumbani basi sasa wews unaleta porojo.
 
Unaweza ukawa kichaa wewe kwa kutotambua mvamizi ni nani na kifo chake kimetokana na nini
No seems kichaa ni wewe!!!

Kwamba kijana Mtanzania aged 22 akatoka Tanzania akaenda kuvamia Palestine?alipovamiwa Mzayuni hakuna aliyefariki?
 
Israel anavyo wa treat wafrika ni kama mbwa bado mbwa anathamani
Hata waarabu chief,kwa ufupi ngozi nyeusi haina mpenzi mweupe angalia dada zako wanavyofurushwa kwenye maghorofa hapo arabuni.

Hakuna mwenye afadhali.
 
Kuna Valid Concern kuwashuku Israel, kama umesoma report ya Israel Jana/Juzi wamepunguza idadi ya waliokufa wanajeshi wao, na sababu ni kwamba miili ilingua sana na hhawakuweza kutambua.

Hii ina Thibitisha theory za mwanzo kwamba israel walipiga hayo maeneo indiscriminately na kuua chochote mbele yao bila kujali kama ni raia wao ama wa kigeni, maana hamas hana silaha ya kuunguza mtu asijulikane mpaka siku kadhaa vifanyike vipimo vikubwa.

Ndugu wa Marehemu wanaweza wakatupa information zaidi.

Source huyu Bidada kachambua vizuri


View: https://twitter.com/caitoz/status/1725612823848653070
 
Al Shifa ndimo walifungiwa Mateka
 
Wewe ndo ulienda Gaza ukamtambua?
Na huyo mtanzania naye aliwafanyia nini wapalestina?
Hayo magaidi ya kipalestina lazima yafe yote pumbavu
 
Maoni ya Kiislam islam.. yana kachuki chuki ndani yake
 
Mkuu watu wenye udini ni Waislamu wala usizunguke mbuyu,swali nani kamuua,lipo wazi kauliwa na magaidi ya kiislamu yanayojulikana Kama HAMAS.
Sasa na huyo mtanzania alipora ardhi ya Wapalestina kiasi kwamba wamuue?
Washenz Hawa lazima wafe wote
 
Ndo mjue sasa hamtakiwi mnajipendekeza tu kwa Israeli huyo hana thamani yoyote kwenu
 
Makonda atoe tamko la kumfukuza Barozi wa Magaidi Palestina mara moja
 
Kwani chanzo cha kifo kimetajwa mk

Unaweza ukawa kichaa wewe kwa kutotambua mvamizi ni nani na kifo chake kimetokana na nini
Ndio maana ninataja neno ukichaa, sababu hata utambui kuwa tarehe saba Hamas waliivamia Israel, na pia hijui kuwa kijana wetu alikuwa Israel anasoma sasa umaongea utumbo gani hapa. Unafikiria kuwa Israel waljivamia na kuathiri maisha ya huyo kijana!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…