Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

ogopa pozi kama ili
i
GTCZW3GWoAA66Ga.jpg
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Slaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa?
Siku zote inabidi tuhakikishe tuna mifumo ya haki. Yale yote ambayo aliyafanya jerry slaa yamekweisha. Wale aliosema ni wezi mahakama hazikutenda haki wanaenda tena kuchukua vile viwanja maana wao wana hizo hukumu za mahakama wahusika wana kauli tu ya waziri.
 
Siku zote inabidi tuhakikishe tuna mifumo ya haki. Yale yote ambayo aliyafanya jerry slaa yamekweisha. Wale aliosema ni wezi mahakama hazikutenda haki wanaenda tena kuchukua vile viwanja maana wao wana hizo hukumu za mahakama wahusika wana kauli tu ya rais.
Jerry hakupaswa hata kubaki kwenye Baraza la mawaziri.
 
Jerry hakupaswa hata kubaki kwenye Baraza la mawaziri.
Tujifunze kutokutegemea mtu bali mifumo. Kama mahakama zitakuwa hazitendi haki inabidi mfumo wa mahakama ufumuliwe maana mtu akiondoka kama waziri matatizo yanarudi pale pale. Viongozi badala ya kujenga mifumo wao wananijenga wao wafaidike kisiasa na raia wanashangilia.
 
Jerry kwa maoni yangu angebaki wizara ya ardhi,
Kubaki kwake kusingesaidia, kama tatizo ni mahakama inabidi mfumo wa mahakama ufumuliwe. Sasa kinachoenda kutokea ni watu kudai tena ardhi zao maana wao wana hukumu ya mahakama hizo zinazosemekana zimetoa hukumu kwa rushwa, wakati hao aliowarudishia ardhi wana kauli ya waziri aliyekuwa.
Tupiganie mifumo sio mtu.
 
Hujitambui wewe. Ungekuwa umedhulumiwa wewe ardhi usingekuja na kauli hii. So wakati unasubiri kubadili mifumo na kuitengeneza haki za wanaodhulumiwa zisubiri kwanza?
 
Hujitambui wewe. Ungekuwa umedhulumiwa wewe ardhi usingekuja na kauli hii. So wakati unasubiri kubadili mifumo na kuitengeneza haki za wanaodhulumiwa zisubiri kwanza?
Tatizo ni kukataa facts. Sasa kaondolewa wewe wadhani nini kitafuata. Yaani yale yalitekelezwa kwa sababu alikuwa waziri. Wale wanarudi kuchukua tena vile viwanja maana wana hukumu za mahakama. Wewe wadhani kati ya kauli ya waziri ambaye amehamishwa wizara na hukumu ya mahakama kipi kitasimama?
Badala ya kupigania watu tupiganie mifume thabiti. Shida ni kwamba hatujifunzi kila siku tunaangilia watu na hawadumu wanaondoka tunarudi kule kule.
 
Back
Top Bottom