Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Jerry ilijulikana ni jambo la muda duh, Ngoma ivumayo, wacha akakae kwenye minara
 
Sema Rais kafanya kosa la kiufundi kumtoa Slaa ardhi
Kinachopaswa kuhakikishwa ni mahakama itende haki, rushwa ipungue huko mahakamani yani mifumo ifanye kazi sio kumtegemea waziri ndiye awe mahakama, kuna kufa, kuna kupigwa chini na mambo yanarudi kama yalivyo. Tutengeneze mifumo imara sio mtu mmoja mmoja ndiye abebe jukumu la kitaasisi.
 
Hajafanya jambo lolote zuri huyo Silaa, alikuwa mungu mtu. Anatukana wananchi kwenye mkutano wa hazara hiyo haifai hata kidogo.
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Ile kutia tia watu ndani hata kwa mambo ambayo yanahitaji common sense. Last week alimweka jamaa ndani kimakosa, jamaa alikuwa anataka kumfafanulia masuala fulani ya ardhi. Mwakani tunamsubiri Ukonga jimboni tupite nae. Hatoboi.
 
Mkuu huyo siyo wa kuacha mpite naye mazima. Wakikua wanakuja kuwa kama jiwe.
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Hao vibaka wawili wametenguliwa lakini Jerry amehamishiwa tu wizara
 
Mkuu huyo siyo wa kuacha mpite naye mazima. Wakikua wanakuja kuwa kama jiwe.
Sana tu. Bila goli la mkono kunako 2020 alishakosa ubunge. Jimbo lake la Ukonga ndilo jimbo lenye miundombinu mibovu kwa mkoa mzima wa Dar, imagine ni wilaya yenye jiji (Ilala) lakini barabara ni mbovu hakuna mfano. Yuko busy na masuala ya ardhi kasahau jimbo.
 
Uko sahihi, alikuwa anafanya kazi njzuri pamoja na mapungufu ya kuwaweka watu ndani... Polisi weka ndani huyo...hii ilikuwa kasoro kubwa, lakini ilikuwa inarekebishika.
Nadhani Msigwa atapewa huko ili awafurushe wamasai Ngorogoro
Msigwa ni mbunge?
 
Tujifunze kutokutegemea mtu bali mifumo. Kama mahakama zitakuwa hazitendi haki inabidi mfumo wa mahakama ufumuliwe maana mtu akiondoka kama waziri matatizo yanarudi pale pale. Viongozi badala ya kujenga mifumo wao wananijenga wao wafaidike kisiasa na raia wanashangilia.

Hii ndio sababu tuko hapa leo... JPM alijitahidi kama yeye kuboresha mfumo wa huduma serikalini ili yeye apate sifa binafsi. Kaondoka uozo umerudi pale pale.
 
Back
Top Bottom