data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Big MistakeSema Rais kafanya kosa la kiufundi kumtoa Slaa ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big MistakeSema Rais kafanya kosa la kiufundi kumtoa Slaa ardhi
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Nasikia ajatoka ndani leo yani marobot yana msumbua kuna moja lile la bungeni limeomba waachane maana awezi kuishi goba
Uchawi upoJerry raisi amekosea sana kumuondoa!
Big Mistake
Ukisikia konyagi zimepata mnywaji basi nape ndio kitakuwa kinywaji chake sio kwa kihoro hiki mpaka kufuta account TwitterIla kile kitambi kimeapa kuambaa ambaa naye mpaka mwisho 😂 😂 😂 😂
Nilijua nmeona pekeanguBig Mistake
Hayo maadui Ni makina Nani!??I dont think so...pale kuna mashimo makubwa na kama kuna mtu anataka kuyafukia, lazima ajikute na maadui
Mifumo pia ni watu kwaiyo inategemea mindset za hao watu wanaoendesha huo mfumo Sasa Mfano hao wanaosimamia mfumo wakiunda cartel ya kumnyima mtu haki itakuaje?Siku zote inabidi tuhakikishe tuna mifumo ya haki. Yale yote ambayo aliyafanya jerry slaa yamekweisha. Wale aliosema ni wezi mahakama hazikutenda haki wanaenda tena kuchukua vile viwanja maana wao wana hizo hukumu za mahakama wahusika wana kauli tu ya waziri.
Tunahitaji mifumo ambayo ina checks and balances. Wewe fikiria mfumo ambao hata bunge halijitegemei limemezwa na white house. Mfumo ambao waziri anaweza kuipinga mahakama. What if leo waziri anaidindia mahakama unafurahi kwa sababu kafanya jambo linalokufurahisha, je kesho akaidindia kwa jambo ambalo halikufurahishi utakimbilia wapi? Utamshitaki mahakamani ambapo hata maamuzi yake hayasikilizi na haina la kumfanya?Mifumo pia ni watu kwaiyo inategemea mindset za hao watu wanaoendesha huo mfumo Sasa Mfano hao wanaosimamia mfumo wakiunda cartel ya kumnyima mtu haki itakuaje?
Lakini ulisikiliza maelezo ya waziri kuhusu blunder za wapigaji walizofanya kishirikiana na matapeli Sasa hata hao wa check and balance Si watu?Tunahitaji mifumo ambayo ina checks and balances. Wewe fikiria mfumo ambao hata bunge halijitegemei limemezwa na white house. Mfumo ambao waziri anaweza kuipinga mahakama. What if leo waziri anaidindia mahakama unafurahi kwa sababu kafanya jambo linalokufurahisha, je kesho akaidindia kwa jambo ambalo halikufurahishi utakimbilia wapi? Utamshitaki mahakamani ambapo hata maamuzi yake hayasikilizi na haina la kumfanya?
Mfumo unaundwa na watu ambao wanafuata sheria na kanuni. Mtu mmoja mara nyingi inakuwa vigumu kubadili kitu. ndio nimekwambia kaondoka wale aliowanyanganya wanaweza kurudi kuchukua viwanja hivyo maana walikuwa wana hukumu za mahakama.Lakini ulisikiliza maelezo ya waziri kuhusu blunder za wapigaji walizofanya kishirikiana na matapeli Sasa hata hao wa check and balance Si watu?
Wwe acha maneno mengi kama vile unaishi Europe, inamaana wwe hujuwi kua ndani ya hiyo mifumo yetu ya utowaji wa haki kuna Watumishi wengi tu wamewekwa mifukoni na hao matapeli!? Tena ukionekana wwe ni mtumishi mwaadilifu ni lazima wakufanyie figisu hadi uhamishwe kitengo au office, usalama wako ni wwe kujiuunga nao tu kama wafanyavyo wao! Ndiyo kidogo utadumu hapo kwa office!!Mfumo unaundwa na watu ambao wanafuata sheria na kanuni. Mtu mmoja mara nyingi inakuwa vigumu kubadili kitu. ndio nimekwambia kaondoka wale aliowanyanganya wanaweza kurudi kuchukua viwanja hivyo maana walikuwa wana hukumu za mahakama.
Si kwamba sikuwa nakubali alichokuwa anakifanya, nakubali kabisa utapeli umezidi sana na mahakama zinahusika. Ila nilitegemea judge mkuu achukue hatua maana tumesikia kauli kadhaa za viongozi na wananchi ikionekana hawana imani na mahakama, lakini sijasikia kauli au ahtua zozote kutoka kwa mhimili huu.
Sasa haya mambo ya mtu mmoja mmoja lini yamekuwa effective? Doing the same thing the same way na matokeo hayabadiliki ni kupoteza muda. Magu alipofariki, si unaona kila kitu kimerudi kule kule. Rasilimali zinauzwa na kubinafsishwa, rushwa kama kawa, urasimu kama kawa ni kwa sababu walikuwa tu wanamuogopa yeye.Wwe acha maneno mengi kama vile unaishi Europe, inamaana wwe hujuwi kua ndani ya hiyo mifumo yetu ya utowaji wa haki kuna Watumishi wengi tu wamewekwa mifukoni na hao matapeli!? Tena ukionekana wwe ni mtumishi mwaadilifu ni lazima wakufanyie figisu hadi uhamishwe kitengo au office, usalama wako ni wwe kujiuunga nao tu kama wafanyavyo wao!!
Basi kama ni hivyo,ni bora tuaajiri maroboti yafanye kazi kwenye mifumo yetu ya utowaji haki, maana inaonekana watanzania tulio wengi hatuwezi kusimamia haki za watu,na hata akijitokeza mtu anaependa haki bado watamuenguwa tu!!Sasa haya mambo ya mtu mmoja mmoja lini yamekuwa effective? Doing the same thing the same way na matokeo hayabadiliki ni kupoteza muda. Magu alipofariki, si unaona kila kitu kimerudi kule kule. Rasilimali zinauzwa na kubinafsishwa, rushwa kama kawa, urasimu kama kawa ni kwa sababu walikuwa tu wanamuogopa yeye.
Inabidi kuodoa na kurekebisha system nzima. Bila hivyo hata wawajibikaji hawawezi kufanikiwa. Kama ilivyokuwa kwake watahamishwa. Jipe muda ufuatilie aliowanyanganya viwanja na kuwapa aliosema walionewa si ajabu utakuta sasa vinaenda kurudi kwaoBasi kama ni hivyo,ni bora tuaajiri maroboti yafanye kazi kwenye mifumo yetu ya utowaji haki, maana inaonekana watanzania tulio wengi hatuwezi kusimamia haki za watu,na hata akijitokeza mtu anaependa haki bado watamuenguwa tu!!
Jerry Slaa kaingilia maslahi ya wapendwa kwa sababu ya uzalendo wake, wakaona hafai. Na alikuwa akitoa siri za dili na wapendwaNimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?
Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Umeonaee...Yani nchi hii tunatakiwa tujenge mifumo IMARA, ama iliyopo tuiboreshe haswaa...imagine waziri anakuja na sera zake, akiondoka wizarani na zenyewe zinafungiwa kabatini...hatuna diraSiku zote inabidi tuhakikishe tuna mifumo ya haki. Yale yote ambayo aliyafanya jerry slaa yamekweisha. Wale aliosema ni wezi mahakama hazikutenda haki wanaenda tena kuchukua vile viwanja maana wao wana hizo hukumu za mahakama wahusika wana kauli tu ya waziri.