Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

Aende huko akae na haya makampuni data hazikai mazee hata ununue ya kiasi gani yaani unaweza ukanunua Airtel ya Zambia ukaa Tanzania na SA wiki tatu ukipita Zambia ukiweka line Data ipo ile ya mwezi ila hauwezi kufanya hicho kitu Tanzania...
TZ hizi kampuni hazina ushindani,zina maridhiano ya kuwanyonya raia,huu mpango wa vifurushi sijui ni wizi mtu,sijui voda to voda,voda to mitandao mingine,kifurushi cha usiku sijui cha chuo ukija kwenye data ndio tunaibiwa nje nje,kwa wenzetu hawana ujinga huu,recharge card zipo 2 tu,call na data,ninaporecharge call napiga mtandao wowote,slaa akaondoe huu ubabaishaji tunaibiwa sana
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Sidhani kama ni muhimu kujadili. Sababu zilizimfanya ateuwe mbina hatukuuliza? Sasa kwa Nini tuulize za kutenguliwa au kuhamishwa wizara
 
Silaa kapelekwa aliposomea, ukiacha yeye kuwa mwanasheria pia ni electronics engineer.

Nayaonea huruma makampuni ya Simu, yamezoea kazi as usual, sasa yamepelekewa mtu mfukunyuku, ambaye ameshalizika na maisha yake, wanaenda kunyooshwa huko balaa.
 
TZ hizi kampuni hazina ushindani,zina maridhiano ya kuwanyonya raia,huu mpango wa vifurushi sijui ni wizi mtu,sijui voda to voda,voda to mitandao mingine,kifurushi cha usiku sijui cha chuo ukija kwenye data ndio tunaibiwa nje nje,kwa wenzetu hawana ujinga huu,recharge card zipo 2 tu,call na data,ninaporecharge call napiga mtandao wowote,slaa akaondoe huu ubabaishaji tunaibiwa sana
Tanzania huwezi kuangalia movie yeyote kwa 5gb utapata meseji wakati 5gb hizo Malawi au Zambia zitabaki hawa jamaa ni wezi balaa...
 
Sidhani kama ni muhimu kujadili. Sababu zilizimfanya ateuwe mbina hatukuuliza? Sasa kwa Nini tuulize za kutenguliwa au kuhamishwa wizara
Kawaida ya mwanadamu, hatuulizi mazuri yakitendeka, hatupati taharuki. Tunauliza na kupata taharuki mabaya yakitendeka. HATUULIZI KWANINI MTU AMEXZALIWA, TUNAULIZA AMEKUFA KWA UGONJWA GANI
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Kamwe usidharau watu!
Yaendayo yanarudi!
 
Tanzania huwezi kuangalia movie yeyote kwa 5gb utapata meseji wakati 5gb hizo Malawi au Zambia zitabaki hawa jamaa ni wezi balaa...
Nape alitumia madaraka yake vibaya!
Sijui kwanini kaishia tu kutumbuliwa uwaziri badala ya kufikishwa mahakamani!
 
Ukiona Jerry hakebehewi ujue sio mla rushwa, Hana nyumba ndogo kila mtaa, hakupata div. Four ya D zote, hakufeli siasa, sio mwizi, sio Bumunda, Ni mchapa kazi, hadharauliwi, sio mhuni, sio Malaya, sio mlevi wa kupindukia, hampigi mke wake mateke na haropoki.
Sijamtaja mtu zaidi ya kumsifia Slaa.
 
uko sahihi
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Tumesha waambieni kwamba hawa vijana wawili hawana Akili ila wamejaliwa kiburi na majivuno basi zaidi ya hapo utawaonea.
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Alimdhalilisha mwananchi morogoro
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Very sad...
Uchawi upo.
 
Back
Top Bottom