Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

Umeonaee...Yani nchi hii tunatakiwa tujenge mifumo IMARA, ama iliyopo tuiboreshe haswaa...imagine waziri anakuja na sera zake, akiondoka wizarani na zenyewe zinafungiwa kabatini...hatuna dira
Hivi nyie watu,mnaposema tujenge mifumo imara mnamaana gani wakati mi naona Mifumo ipo,sema hatuna watu imara wa kusimamia hiyo mifumo iliyopo, Mkapa alisha weka hiyo mifumo,kama vile TRA, Takukuru, Mahakama za chini hadi za juu, na mifumo mingi tu, sasa watu wasiokua waadilifu wanatumia hiyo mifumo kwa kujinafaisha wao na watu wao! Sasa nyinyi mmebaki kulalamikia mifumo badala ya watu wanaosimamia hiyo mifumo!!
 
Hivi Takukuru wana uwezo wa kumpeleka raisi mahakamani anapokosea (kama Mkapa alivyouza mgodi wa makaa kule Mbeya?) Kama jibu ni HAPANA, unadhani kwa nini? Hapa Tanzania mifumo haifanyi kazi zake inavyostahiki. Shida pia ni kwamba mteuzi wa wakuu wa hivi vyombo ni raisi, hivyo ana mandate ya kutengua pia. Vyombo haziwezi kuwa huru kwenye kazi zake.
 
Back
Top Bottom