Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huwa siwaelewi watu wanaomtetea Jerry Silaa, hako katoto ni kapumbavu sana, amekuwa Meya wa ilala hajafanya lolote kwenye kata iliyompa udiwani, Moshi Bar aliacha bila lami.Sana tu. Bila goli la mkono kunako 2020 alishakosa ubunge. Jimbo lake la Ukonga ndilo jimbo lenye miundombinu mibovu kwa mkoa mzima wa Dar, imagine ni wilaya yenye jiji (Ilala) lakini barabara ni mbovu hakuna mfano. Yuko busy na masuala ya ardhi kasahau jimbo.
Hata huo Ubunge ni wa asante Magufuli, aliyeshinda kura za maoni za ccm ni yule Muhindi Magufuli akamkata jina ndio akateuliwa huyo mjingam
Mwaka 2020 kungekuwa na uchaguzi Jerry asingepata ubunge, lakini yule shetani wa Chato akaamuwa kuhujumu uchaguzi na kupora haki ya wananchi kuchaguwa viongozi wao.
Kama Magufuli hayupo motoni basi na moto wenyewe ujuwe haupo ni hadithi tu.