Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?

Kwenye nchi kama hii nilijua mbio za Jerry Slaa zitagonga ukuta. Sio kwa sababu ni mtu mbaya, la hasha! Ila wanaonufaika na matatizo ya watanzania, wengine wanakula na kushiba kwenye hizo hizo ofisi kubwa ambazo alikuwa anafanyia kazi.
Laana ya kuwatengenezea matatizo watanzania imeanza kula furaha za wengi wanaofanya hivyo. Na bado. Jerry asikate tamaa...nchi ngumu sana hii
 
Siku zote inabidi tuhakikishe tuna mifumo ya haki. Yale yote ambayo aliyafanya jerry slaa yamekweisha. Wale aliosema ni wezi mahakama hazikutenda haki wanaenda tena kuchukua vile viwanja maana wao wana hizo hukumu za mahakama wahusika wana kauli tu ya waziri.
Mifumo pia ni watu kwaiyo inategemea mindset za hao watu wanaoendesha huo mfumo Sasa Mfano hao wanaosimamia mfumo wakiunda cartel ya kumnyima mtu haki itakuaje?
 
Tunahitaji mifumo ambayo ina checks and balances. Wewe fikiria mfumo ambao hata bunge halijitegemei limemezwa na white house. Mfumo ambao waziri anaweza kuipinga mahakama. What if leo waziri anaidindia mahakama unafurahi kwa sababu kafanya jambo linalokufurahisha, je kesho akaidindia kwa jambo ambalo halikufurahishi utakimbilia wapi? Utamshitaki mahakamani ambapo hata maamuzi yake hayasikilizi na haina la kumfanya?
 
Lakini ulisikiliza maelezo ya waziri kuhusu blunder za wapigaji walizofanya kishirikiana na matapeli Sasa hata hao wa check and balance Si watu?
 
Mfumo unaundwa na watu ambao wanafuata sheria na kanuni. Mtu mmoja mara nyingi inakuwa vigumu kubadili kitu. ndio nimekwambia kaondoka wale aliowanyanganya wanaweza kurudi kuchukua viwanja hivyo maana walikuwa wana hukumu za mahakama.
Si kwamba sikuwa nakubali alichokuwa anakifanya, nakubali kabisa utapeli umezidi sana na mahakama zinahusika. Ila nilitegemea judge mkuu achukue hatua maana tumesikia kauli kadhaa za viongozi na wananchi ikionekana hawana imani na mahakama, lakini sijasikia kauli au ahtua zozote kutoka kwa mhimili huu.
 
Wwe acha maneno mengi kama vile unaishi Europe, inamaana wwe hujuwi kua ndani ya hiyo mifumo yetu ya utowaji wa haki kuna Watumishi wengi tu wamewekwa mifukoni na hao matapeli!? Tena ukionekana wwe ni mtumishi mwaadilifu ni lazima wakufanyie figisu hadi uhamishwe kitengo au office, usalama wako ni wwe kujiuunga nao tu kama wafanyavyo wao! Ndiyo kidogo utadumu hapo kwa office!!
 
Wwe acha maneno mengi kama vile unaishi Europe, inamaana wwe hujuwi kua ndani ya hiyo mifumo yetu ya utowaji wa haki kuna Watumishi wengi tu wamewekwa mifukoni na hao matapeli!? Tena ukionekana wwe ni mtumishi mwaadilifu ni lazima wakufanyie figisu hadi uhamishwe kitengo au office, usalama wako ni wwe kujiuunga nao tu kama wafanyavyo wao!!
Sasa haya mambo ya mtu mmoja mmoja lini yamekuwa effective? Doing the same thing the same way na matokeo hayabadiliki ni kupoteza muda. Magu alipofariki, si unaona kila kitu kimerudi kule kule. Rasilimali zinauzwa na kubinafsishwa, rushwa kama kawa, urasimu kama kawa ni kwa sababu walikuwa tu wanamuogopa yeye.
 
Basi kama ni hivyo,ni bora tuaajiri maroboti yafanye kazi kwenye mifumo yetu ya utowaji haki, maana inaonekana watanzania tulio wengi hatuwezi kusimamia haki za watu,na hata akijitokeza mtu anaependa haki bado watamuenguwa tu!!
 
Inabidi kuodoa na kurekebisha system nzima. Bila hivyo hata wawajibikaji hawawezi kufanikiwa. Kama ilivyokuwa kwake watahamishwa. Jipe muda ufuatilie aliowanyanganya viwanja na kuwapa aliosema walionewa si ajabu utakuta sasa vinaenda kurudi kwao
 
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni?

Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Jerry Slaa kaingilia maslahi ya wapendwa kwa sababu ya uzalendo wake, wakaona hafai. Na alikuwa akitoa siri za dili na wapendwa
 
Siku zote inabidi tuhakikishe tuna mifumo ya haki. Yale yote ambayo aliyafanya jerry slaa yamekweisha. Wale aliosema ni wezi mahakama hazikutenda haki wanaenda tena kuchukua vile viwanja maana wao wana hizo hukumu za mahakama wahusika wana kauli tu ya waziri.
Umeonaee...Yani nchi hii tunatakiwa tujenge mifumo IMARA, ama iliyopo tuiboreshe haswaa...imagine waziri anakuja na sera zake, akiondoka wizarani na zenyewe zinafungiwa kabatini...hatuna dira
 
Back
Top Bottom