Hivi nyie watu,mnaposema tujenge mifumo imara mnamaana gani wakati mi naona Mifumo ipo,sema hatuna watu imara wa kusimamia hiyo mifumo iliyopo, Mkapa alisha weka hiyo mifumo,kama vile TRA, Takukuru, Mahakama za chini hadi za juu, na mifumo mingi tu, sasa watu wasiokua waadilifu wanatumia hiyo mifumo kwa kujinafaisha wao na watu wao! Sasa nyinyi mmebaki kulalamikia mifumo badala ya watu wanaosimamia hiyo mifumo!!