Gen-Z hawalaliGen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote. Maandamano yatakuwa endelevu mpaka pale Samia atakapojiuzulu.
Tusitolewe kwenye lengo letu kwa press na propaganda za wanasiasa.
Nawasilisha
HakunaMwendo ni maridhiano mjuba, msikilize Waziri mkuu anasemaje kuhusu D9
Jukumu la maandamano si la gen z peke yao kwa hali iliyopo mchini na aina ya viongozi tulionao kunahitajika msukumo mkubwa sana wa jamii zima yaani maandamano makubwa ya kila mtu atoke la sivyo hakuna feature kwa hii nchi maana ninachokiona ni hila, unafki na uwongo ndio umeshika hatamu sasa.Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote. Maandamano yatakuwa endelevu mpaka pale Samia atakapojiuzulu.
Tusitolewe kwenye lengo letu kwa press na propaganda za wanasiasa.
Nawasilisha
tunamsikiliza ili jioni tuandike barua ndefu kukataa uongo wakeGen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote. Maandamano yatakuwa endelevu mpaka pale Samia atakapojiuzulu.
Tusitolewe kwenye lengo letu kwa press na propaganda za wanasiasa.
Nawasilisha
Inatakiwa iwe hivyo, ili watz wote tuamke kifikra.Tulizeni mizuka wajuba, mtaua watu kwa njaa watakapopigwa lockdown kutokana fujo zitakazotokea
ndio wamekuwa wapole, bado mnataka nini tena vijana wetu? Tulieni kuna maridhiano yameanzishwaInatakiwa iwe hivyo, ili watz wote tuamke kifikra.
Mkuu, kwa taarifa yako, baada ya kilichotokea MO29, kama Gen Z tungejawa woga na kunywea nakuhakikishia, hawa watu wasingekuwa wapole kama walivyo leo, na mauaji yangeendelea chini kwa chini kwa vijana.
Lakini kwa kuwa tulisema hatununui tena woga, na tukatangaza maandamano mengine ya D9 ndo unawaona sasa wanajifanya wapole washenzi hao.
Na nyie wazee wetu, tuungeni mkono vijana, tunapigania Tanzania na maslahi ya kesho yetu sote
9DNawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote. Maandamano yatakuwa endelevu mpaka pale Samia atakapojiuzulu.
Tusitolewe kwenye lengo letu kwa press na propaganda za wanasiasa.
Nawasilisha
9DLakini kwa kuwa tulisema hatununui tena woga, na tukatangaza maandamano mengine ya D9 ndo unawaona sasa wanajifanya wapole washenzi hao.
Na nyie wazee wetu, tuungeni mkono vijana, tunapigania Tanzania na maslahi ya kesho yetu sote
Yaani me mwenyewe nna wasi wasi nahisi kama wataingiwa na uwoga.. any ways safari hii inabidi na milennials tuwasaidieIla 9 wakitoka tena nasema bas kizaz hiki kimeshindikana,na naamin mkeka wa maalim utatiki 2030
Sisi tunataka maridhiano...hatutaki machafuko nchiniJukumu la maandamano si la gen z peke yao kwa hali iliyopo mchini na aina ya viongozi tulionao kunahitajika msukumo mkubwa sana wa jamii zima yaani maandamano makubwa ya kila mtu atoke la sivyo hakuna feature kwa hii nchi maana ninachokiona ni hila, unafki na uwongo ndio umeshika hatamu sasa.