Mbona kama Gen Z tushaanza kupoteza focus kuhusu 9D

Mbona kama Gen Z tushaanza kupoteza focus kuhusu 9D

Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.

Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.

Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote. Maandamano yatakuwa endelevu mpaka pale Samia atakapojiuzulu.

Tusitolewe kwenye lengo letu kwa press na propaganda za wanasiasa.
Nawasilisha
Gen Zee hawafungamani na chama chochote cha siasa na wala hawafungamani na dini yoyote, wanaohangaika na Mwigulu Nchemba ni wanasiasa wenzake.
 
Back
Top Bottom