Mbona kama hawapo bungeni na mawazo yao ni kama watarudi au hatawatarudi?

Mbona kama hawapo bungeni na mawazo yao ni kama watarudi au hatawatarudi?

Umewezaje kusoma fikra zao na kujua hilo?
Usinipe Taarabu, nipe jibu fupi na simple.
 
Hao wagonge meza tu mara ya mwisho ila possibility ya kurejea hapo ni ndogo sana mana waliwekwa hapo kwa maelekezo ya Jiwe na Bashiru, Saivi Bungeni watarudi Miamba tu yenye influence na Majimbo yao

Hao ndio mana wameanza kuulizia train ya SGR, na Ndege za ATCL ili waondoke leo leo mana wanajua hawarudi tena.
 
Back
Top Bottom