Hao wagonge meza tu mara ya mwisho ila possibility ya kurejea hapo ni ndogo sana mana waliwekwa hapo kwa maelekezo ya Jiwe na Bashiru, Saivi Bungeni watarudi Miamba tu yenye influence na Majimbo yao
Hao ndio mana wameanza kuulizia train ya SGR, na Ndege za ATCL ili waondoke leo leo mana wanajua hawarudi tena.